Tunafunga mwaka kibabe sana,
Ni majina gani ya wanaharakati na viongozi waliokonga na kugusa moyo wako na mioyo ya watanzania katika kusimamia haki, kupambania uhuru wa watu, kuongoza vizuri, kulinda amani na utu wa watanzania kati ya hawa hapa chini
1. Joelson Mpina
2. Tundu Antiphas Lissu
3...
Weusi wawili wakijamiana wana uwezo wa kuzaa albino ambae anamuonekanowa kizungu, ila mzungu na mzungu mwenzake wakilala hawawezi kuzaa mtu mweusi. Ifahamike mu mweusi anaweza kujichubua na kuwa mweupe mithiri ya mzungu ila mzungu kwa namna yeyote ile hawezi kuwa mweusi. Adam na hawa walikuwa...
E. UMAUTI
Siku ya tarehe 29. 10. 2025 Elisha Mwakafwaga akiwa njiani kuelekea nyumbani kwa dada yake alipatwa na mkasa wa kupigwa risasi, eneo la tumbo kisha akawahishwa hospitalini. Alifanyiwa operationa mbili na kulazwa katika hospitali ya rufaa ya kanda mkoani Mbeya. Hali yake ilianza...
Asante kwa kuelewa swali, naona wengi wanajibu kwa kujidefend wao wenyew kuolewa na wanaume wafupi.... swali langu hata halikuwa hapo, hayo yalikuwa maelezo tu ila swali langu liko very open sema defensive mechanism ni kubwa sana.
Nina swali kwa Pande zote mbili!
Kwanza nianze na mabinti, vipi ikatokea Mungu akakupa mume kama alivyo baba yako?
Sikulenga swali, Jitahidi kuelewa sana maisha yanataka nini, wanawake siku hizi mnavigezo vingi tena visivyo na mwisho na vingine hadi mtu unashangaa, hivi kweli ndio wako hivi...
Watoto wengi wa kike siku hizi wanatapeliwa kirahisi sana miili yao kwasababu kuna maneno wanayoambiwa na boys ambayo nyumbani hawaambiwi. Sasahivi imezoeleka kuwa maneno kama "NAKUPENDA" yanasikika kwa watu wenye mahusiano ya kimapenzi tu na wala si manyumbani mwetu. Lakini kupendana si tu kwa...
IDADI KUBWA YA WADADA WA VYUONI NI SINGLE MOTHERS
Soma pia: Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother
Ulimwengu unakwenda kasi sana, siku hizi maovu tumeyachukulia kama lifestyle, zamani mtu akizalia nyumbani ilikuwa ni aibu kubwa na mara nyingi mtu aliyezalia nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.