Recent content by gmantz

  1. G

    Balaa lingine lamwangukia Dr Slaa

    mkuu kwa hili naona umepotea ,kweli Dr wa ukweli Slaa hawe kama unavyosema in this ur deadly wrong my bro!!! Next time think Big before post .
  2. G

    Kuongea lugha kwa ufasaa

    Wabunge wanaposhindwa kujieleza kingereza,Je ni tatizo? Nashauri kamati ya Bunge kushirikiana Britsh council kuandaa msasa kwa wabunge kuweza kujieleza vyema katika lugha husika.:confused3:
  3. G

    Dhana ya kujivua magamba na kubakia na vidonda

    nafikiri ni hatua muafaka kwa hatua moja kwani hatua zaidi zinabidi kuzingatiwa kukamilisha safari ya kujisafisha na kurudisha matumaini kwa wanachama na chama kiujumla ,naongopa kusema ya kwamba kwa hatua hiyo isije ikawa ni ya saniiiiiiiii tuuuu maana viongozi wetu wamekuwa watu wa porojo...
  4. G

    Kauli ya Lema

    Godbless as the name it's real no doubt about him his real a blessed with our almighty God ,what we all should know it's very important to keep pray for him .His a very good example of what a MP should be.Big LEMA and i sincerly congratulation all voter of AR for select him
Back
Top Bottom