Recent content by Gmailandyahoo

  1. G

    Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

    Mawazo yako kwake ndiyo yanaweza kumuathiri. Kama wewe unamuona hayuko sawa, na yeye atajiona hayuko sawa, na jamii itamuona hivyo. Unatakiwa uwe positive umsaidie kujiamini. Ni mdogo bado hajaelewa kuji manage, I hope akikuwa na kuweza kujishughulikia atakuwa mtu wa kawaida tu kama akili yake...
  2. G

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Kama unataka kujua tafuta, soma, jifunze, hilo ni jambo jepesi ukisearch utapata maelezo ya kutosha!
  3. G

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Unahitaji uwe na knowledge ya kuifahamu qur an hasa ikiwa unataka kupingana nayo Wapingaji wakubwa wa qur an wala hawataji hoja hizo kwa sababu si hoja kwa wasomi. Wachilia knowledge ya qur an hata kama una knowledge ya lugha tu basi hoja hizi hazifai hata kwa kiwango cha chini! Inaonesha...
  4. G

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Maneno yako unasema huko uliko umetulia na una amani, sasa kwa nini unachanganyikiwa? Moyo wako haujatulia bado, tafuta ambapo moyo utatulia kama kweli unahitaji utulivu endelea kuutafuta, uwe mkweli wa nafsi yako. Huna sababu ya kuchanganyikiwa ikiwa umeusoma kweli usilam na umeusoma ukristo...
  5. G

    Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

    Zanzibar-ASP Hizo nyombo za kuwakomboa wanawake, kuwawezesha, kuwainua , kuwapa viti maalum, …mbona zipo zamani na zinaimbwa na wanaume pia! Why mnashangaa alipofanya rais na yeye ni mwmke, mwana siasa na ccm, si anatilia nguvu yale yanayopendwa na chama chake! Samia oyee!
  6. G

    Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

    Kudra ni mambo anayofanya Muumba ambayo binaadamu hana uwezo wa kuyazuia! Hajakosea! Kifo cha magufuli ni kudra na yeye kuwa rais ni kudra!Hamjui kiswahili au mnapotosha kuchochea fitna!
Back
Top Bottom