Huu mjadala hauna mwisho, hakuna anaejua dini ipi ni ipi lakini sote tunajua ili kwenda mbinguni ni lazima utende wema, na dini zote zimeweka wazi ni vitu gani usifanue na nini ufanye ili uende mbinguni. Tenda wema, Toa sadaka, Fanya ibada, Mengine ni rehema za mungu. Warabu walileta uislamu...
Habari wakuu,
Nimepanda mahindi mwezi November 2023 maeneo ya mkuranga mbegu ya pioneer sasa yamefikia hatua ya kubeba(yana miezi miwili) ila yamepata tatizo lakunyauka majani kuanzia chini kuja juu sijajua shida ni nini sijapuliza dawa ya magugu wala ku overdose kiwatilifu chochote, naombeni...
Habari wakuu, me ni mkulima mchanga ndo nimeanza kilimo, nina swali, hivi kuna dawa ya kuzuia mimea ya mahindi yasiliwe na wadudu yakiwa shamba au nisubir kama nitaona wadudu ndo nipulize dawa!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.