Recent content by gloriamagret2014

  1. G

    Mchengerwa aagiza Mchakato wa uanzishwaji wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Jjiji la Dar uanze

    Naomba kujua barabara zilizotiwa sauni ya ujenzi kuanza ni zipi? Je barabara za kwenda kitunda.magole.mwanagati zipo? Huku hali ni mbaya sana.anauliza raia mwema wq kitunda
  2. G

    Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa?

    NIpigie nikukodishie yangu.kodi 200.000.nataka miezi sita.inahitaji mtu anayejua promotion.0754279035
  3. G

    Unywaji pombe salama na bora kiafya

    Naomba kujua unywaji pombe salama na bora kiafya ni kiwango gani kwa siku? Bia ni kiasi gani na pombe kali konyagi au K.VANY ni kiasi gani? Wadau naomba kujuzwa kiwango sahihi kwa siku.
  4. G

    Kuna shida gani kwenye. Mfumo wa hakiki stamp wa TRA

    Kwa siku tatu sasa ukitaka kuhakiki ubora Pombe kali konyagi.k vant nk mfumo unatoa mesage.MANTANANCE MODE AU SERVER UNAVAILABILITY TRY AGAON LATER . Vile vili kuna hisia watu kuanza kupata shida kunywa vinywaji vikali. Je kuna shida gani? Wahusika tunaomba mrejesho haraka.
  5. G

    Hongera PPRA kwa mfumo wa NEST

    Huu mfumo ni kiboko na mzuri sana ni shirikishi, wa kisasa, usalama nk. Tangu nimeanza kuutumia napata vifaa na huduma kwa nusu ya bei ya awali. Huu mfumo ukitumia vizuri naamini kabisa matumizi ya serikali yatapungua kwa 50%. PIA SOMA - PPRA pamoja kuweka mfumo sahihi, kagueni michakato ya...
  6. G

    Nakodisha Mashine ya kusaga nafaka

    Nakodisha mashine ya kusaga, ina vinu viwili cha kusaga na kukoboa pamoja na mizani Stoo yaani biashara yote, mahali Kitunda Magole DSM. Sehemu haina mashine jirani. Bei 200.000 kwa mwezi. Nipigie 0754 279035 kwa maelezo zaidi.
  7. G

    KERO Barabara za Mwanagati hazipitiki msimu huu wa mvua. Magari yanaharibika. Daladala zinalazimika kupandisha nauli

    Naomba barabara kutoka Banana kwenda Kitunda magole na Mwanagati ipewe kipaumbele kwenye awamu ya kwanza mpsngo wa DMDP 2.hali ni tete mno.
  8. G

    Barabara za Tabata Kimanga ni Mbovu sana

    Njop Bora huko.njoo kitunda ni zaidi
Back
Top Bottom