Recent content by Gloriamagret

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mliokwenda moshi kula xmass endeleeni kubaki huko kwa muda.dsm joto siyo la kawaida.natamani kurudi moshi

    Joto la dsm limejuwa kali sana.natamani kurudi moshi
  2. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Pombe feki zimekithiri Moshi

    Kuna application maalum ipo play store unadown load kwenye simu.ukiwasha data unascan ile stemp na barcode inakuambia kama ni pombe feki au la.ni rahisi sana wapigie tra kwa maelekezo
  3. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Pombe feki zimekithiri Moshi

    Nipo moshi mitaa ya.rombo.pombe asilimia 80 nilizohakiki kwa kutumia program ya ya.hakiki stemp ya tra.zinaonyesha ni feki.hivi wahusika wako wapi?.₩atu wanauziwa sumu.biashara zinaharibiwa.serekali inakosa mapato bado hakuna hatua zinachukuliwa. Serikali itoe mwongozo kila anayeninua pombe...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Dar Express chukua hatua, gari zuri linaishiwa mafuta njiani

    Ukiwa na mizigo na unakwenda ukonga lazima usubiri .
  5. G

    JamiiForums Tanzania Dar Express chukua hatua, gari zuri linaishiwa mafuta njiani

    Jana nimetoka Moshi na basi lako kufika mwananchi llimekata mafuta. Tumekaa zaaidi ya masaa mawili kusubiri mafuta toka Pugu. Boda boda mmoja mrangi kaleta mafuta na dumu lita 20. Basi zuri dragon inakataje mafuta njiani. Chukua hatua mapema. Haina afya kibiashara
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nakwenda Moshi na gari binafsi. Niweke mafuta kiasi gani?

    Naondoka asubuhi na garo yangu binafsi harria 2006 cc 2360 kwa mara ya kwanza. Gari ni mpya kilomita 560 from dsm to moshi.niandae lita ngapi.natumia ac mwanzo mwisho.driving speed 80 to 120.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nakwenda Moshi na gari binafsi. Niweke mafuta kiasi gani?

    Naondoka asubuhi na gari yangu binafsi Harrier 2006 cc 2360 kwa mara ya kwanza. Gari ni mpya kilomita 560 from Dar to Moshi niandae lita ngapi. Natumia AC mwanzo mwisho, driving speed 80 to 120.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kituo cha kuuza mafuta cha bei nafuu ni bei gani?

    Nimekwenda sehemu za mkoa wa pwani bush kabisa nimekuta vijana wa bodaboda wananunua petroli ya.kulima kwa chupa. Nomeshawishika niwajengee angalau kituo simple cha petrol. Swali kituo simple kinagarimu kiasi gani? Pampu mojanya disel na petrol, vipi bei ya leseni, vibali nk. Nina kiwanja...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nimemeza flagin.

    Tumbo limechafuka nikameza flagin asubuhi.mchana likatulia kabisa.sasa natakiwa nikae muda gani nianze kunywa pombe.mimi ni mpenzi wa konyagi.siwezi kulala bila kupata kale kachupa kadogo kwa ajili ya usingizi.kuburudika.kuondoa mafua.covid nk.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki Tanga mjini

    Thanks.nimesali hapo cafhedral chumbagen.good church .kanisa la kiaskofu.nimepapenda
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki Tanga mjini

    Mimi ni mgeni tanga mjini.naomba kujua kanisa katoliki hapa mjini karibu na mtaa wa chuda hoteli niliopanga liko wapi? Naomba kujua pia ratiba yake ya ibada kesho jumapili. Nataka nipate ibada kwanza kabla ya kuendelea na majukumu yaliyonileta tanga.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mbu wamekuwa tishio, nifanye nini kukabiliana nao?

    Mbu wamekuwa wengi mno, napiga rungu wapi natumia neti wapi bado wanapenya nafunga dirisha aluminium joto linazidi. Naombeni kujua suluhisho la kudumu na rahisi. Naishi Kivule, Dar.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ni lipi basi zuri VIP la kwenda Tanga?

    Namba zao pleass.raha leo.ratco au tahmed.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ni lipi basi zuri VIP la kwenda Tanga?

    Naombeni namba za ajent
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ni lipi basi zuri VIP la kwenda Tanga?

    Naomba kujua basi zuri la kwenda Tanga liwe VIP full AC. Naomba kujua ofisi zao zilipo hapa DSM.
Back
Top Bottom