Nendeni shule hapo ndio mtateuliwa.sifa ya kwanza kwa JPM ni kuwa na shule ndio maana maprofesa na Madaktari na Ma Injia wanateuliwa kila mara.lingine utendaji ndio kigezo cha JPM
Hongera sana Mh kwa kusaini muswaada huo kuwa sheria. Hii italeta heshma kubwa kwenye tasnia ya habari. Tuondokane na magazeti na waandishi makanjanja. Magazeti kama haya ya Mizani na yafananayo ndio ya kuanza nayo
Baada ya kupata habari kuhusu Gazeti hili hapa JF jana, niliamua kulitafuta na nikalipata maeneo ya Lumumba pale Falcon.
Naomba Waziri Nape alifungie kipeperushi hiki haraka kwa uchochezi kwani halina tofauti na vipeperushi vingine vilivyofungiwa kama Mawio na vyombo vingine kwa uchochezi...
Road to urais ya Sitta ipo hivi; kulichelewesha/ahirisha bunge la katibu kwa kadiri ya uwezo wake mpaka term ya urais ya Kikwete itakapo kwisha. Baada ya hapo "bunge la katiba" litapokea na ku assume madaraka ya rais mpaka zoezi la katiba mpya litakapo kamilika na yeye Sitta atakuwa "Rais" wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.