Zackaria Hans Poppe na Fredrick Mwakalebela wanafaa kuliongoza jimbo la Iringa Mjini

yohana charles

Senior Member
Mar 21, 2013
134
10
Kama kweli Chama cha Mapinduzi Iringa kina nia ya kulirejesha jimbo la Iringa mjini ktk himaya yao..tunaomba wafanye wawezavyo 2015 watuletee HANSPOPPE au MWAKALEBELA.

Kwa sisi tulio huku mitaani wawili hao wanatajwatajwa sana,watu wanawahtaji sana na wanaamini ndio wenye uwezo mkubwa wa kuwaletea makubwa ktk jimbo lao wanalolipenda la Iringa mjini.

Lakin wapo wanaoshauri kwamba kama HANSPOPPE atakubali kugombea ubunge basi MWAKALEBELA agombee udiwani halafu hatimaye agombee umeya wa manispaa ya Iringa,watu wanaamini combination ya HANSPOPPE kama Mbunge na MWAKALEBELA kama Meya itafanya makubwa sana.

Lakini kama Hanspoppe hatakuwa tayari kuwania ubunge basi chonde mleteni MWAKALEBELA tafadhali..
 
MaCCM bhana
~Mwakalembela sijui, alikuwa na vijipesa vingi tu sasa yupo hoi kifedha, baada ya kujiingiza kwenye kinyanganyio cha jimbo hilo na mikesi ya uchaguzi

~Unataka tena huyo tajiri wa kutaka kumpindua mwalimu JK, tajiri wa mafuta na mdau mkuu wa timu ya simba, aje huko tena. namsii sana aendelea na biashara zake atapotea vibaya kama NCHAMBIZ (Mombasa Raha) ingawa ni mbunge sasa lakini hana mabasi ya route ndefu aliuza kipindi cha uchaguzi na sijui ata kama ameshapata pesa ya kurudisha.

MaCCM ni yakuondoka yote madarakani.
 
Wakati watu wanafikiria namna ya kuiondoa CCM kabisaaa katika kumbukumbu za uongozi wewe unakuja na tamthilia zako za kikuwadi. Mkoje nyie watu?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Nadhani bado una heniova ya gongo uliyokunywa jana! Katafute nyingine uzimue kwanza...
Watu kama nyie mlipaswa kufa siku nyingi sana...!
 
Watu wa Iringa bado hawajasahau mauaji yaliyofanywa na ccm wakishirikiana na polisi kumwua Daudi Mwangosi (RIP). Watu wa Iringa hawana shida na magaidi chini ya gaidi mkuu Mwigulu
 
maccm bhana
~mwakalembela sijui, alikuwa na vijipesa vingi tu sasa yupo hoi kifedha, baada ya kujiingiza kwenye kinyanganyio cha jimbo hilo na mikesi ya uchaguzi

~unataka tena huyo tajiri wa kutaka kumpindua mwalimu jk, tajiri wa mafuta na mdau mkuu wa timu ya simba, aje huko tena. Namsii sana aendelea na biashara zake atapotea vibaya kama nchambiz (mombasa raha) ingawa ni mbunge sasa lakini hana mabasi ya route ndefu aliuza kipindi cha uchaguzi na sijui ata kama ameshapata pesa ya kurudisha.

Maccm ni yakuondoka yote madarakani.

>>mwakalebela bado ni mwiba wao,na kama unataka kuamini tuombe mungu atupe uzima 2015 kama akijitosa utaona shughuli yake na utajua who is mwakalebela<<
 
Wakati watu wanafikiria namna ya kuiondoa CCM kabisaaa katika kumbukumbu za uongozi wewe unakuja na tamthilia zako za kikuwadi. Mkoje nyie watu?

Sent from my iPad using JamiiForums

>>Kwa utitiri wa vyama uliopo Tz,halafu wakati wa uchaguzi kila chama kinagombea kivyake,kuiondoa CCM madarakani ni ndoto za mchana..<<
 
Mkuu kama umeoa/kuolewa kwani hukuona utitiri wa wanawake/wanaume? Uliwaona ila ulichagua au unachagua kilicho bora. Huwezi kuendelea na kitu kibovu eti kwa sababu mbadala viko vingi hivyo unashindwa kuchagua kilicho bora.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Watu wa Iringa bado hawajasahau mauaji yaliyofanywa na ccm wakishirikiana na polisi kumwua Daudi Mwangosi (RIP). Watu wa Iringa hawana shida na magaidi chini ya gaidi mkuu Mwigulu
we msukule wa kibavicha nisikilize vizuri, safari ya huyo msigwa wenu ndo imefikia mwisho, 2015 atarudi madhabahuni kuhubiri, mpende msipende ndo hivyo hivyo. kwa taarifa yako jiandeeni kisaikolojia maana mafuriko makuu ya kuifukia hiyo saccos yenu yaja. na huo ndo mpango mzima.
 
Back
Top Bottom