Recent content by GLOOMY

  1. GLOOMY

    Kwa utapeli huu : NBC Bank hamfai

    Kwa Nini Ufanisi wao Ni zero? Kwa Sababu hata HQ hawana msaada wowote ukiwapelekea Taarifa ambako mara nyingi tunaamini ndiyo center of critical thinkers. Na je; serikali haijui huu uozo uliopo NBC ? B.O.T mbona wanailea hili genge la kuihujumu serikali?
  2. GLOOMY

    Kwa utapeli huu : NBC Bank hamfai

    Yamenikuta na Mimi Ni mwezi wa pili hakuna hela. Solution Ni kuwapelekea barua wasitishe mkopo na kunipa form zangu.
  3. GLOOMY

    NBC bank rekebisheni tatizo la ATM card please! Or else...

    Hawana huduma nzuri kuanzia customer care na general service They don't care whether. wamekuhudumia au la, hongera kwa NMB wanajali na kuhudumia wateja. Soon nafunga account yangu na Mrs nihamie Crdb,Hadi pale watakapojitambua.
  4. GLOOMY

    DED, DC, Mbunge Ilemela wapiga Mil. 300 katika mradi wa Hospitali ya wilaya

    Hili hakuliongelea Pm pale malaika Beach eeee
  5. GLOOMY

    Uchambuzi: Viti Maalum feki waliotimuliwa uanachama CHADEMA wataendelea kuwa Wabunge wa Mahakama kimkakati kwa miaka mitano

    Issue sio kuwepo wabunge wa CDM bungeni ila Ni ruzuku inayotolewa mabeberu kwenye Kamati ya PAC ambayo kimsingi inaongozwa na Kambi ya upinzani Kwa drama hizi na zingine bado nchi wafadhili watakuwa na imani na serikali yetu Tukufu? Binafsi naona Ni mchezo ambao umechezwa bila weledi na kuchafua...
  6. GLOOMY

    Startimes ni wezi wa vifurushi, TCRA wachukuleni hatua

    Majibu hayakidhi kiwango ,kwa kifupi kampuni lenu Ni wezi kupita maelekezo mliyopewa na Tcra. Galama Ni kubwa alafu channel zenu zote za kipuuzi, mteja analipia TSH 11000 alafu channel hazizidi 15 zinazokamata nazo Ni za kichina. Soon ungo wenu nageuza tyle la kuchezea watoto Sent from my TECNO...
  7. GLOOMY

    Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Nashukuru,nimegundua wengi ya wanaonitafuta privacy wako kwa ajili ya maslahi yao,na wamegeuza hii mada Kama fimbo. Nakwazika Sana lakini Sina jinsi ya kuvumilia kwa sababu niliyataka mwenyewe. Shukran kwa tahadhari yako Sent using Jamii Forums mobile app
  8. GLOOMY

    Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Maisha yangu Ni ya kawaida ,natumia soft drinks occasionally,sivuti aina yoyote ya sigara na body weight Ni normal below 70 kg. I can guess labda stress ndo changamoto ,kwa sababu tuko kwenye Dunia yenye mchanganyiko wa watu,japo nazo sio Muda wote. Zaidi nikushukuru kwa mchango wako na...
  9. GLOOMY

    Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Wa kawaida, na kwa upande stability niko sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. GLOOMY

    Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Inatia faraja, shukran Sana ndugu yangu na nimekuelewa Sana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. GLOOMY

    Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Nimeoa na Nina miaka 5 Sasa kwenye ndoa, shukran Sana kwa ushauri wako Sent using Jamii Forums mobile app
  12. GLOOMY

    Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Karibu ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. GLOOMY

    Mrejesho: Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Ndugu mahusiano yetu yalikuwa Ni kukuzana, mawazo yake alijua ningemuoa lakini alishindwa kuvumulia na alitangulia kuolewa nikiwa chuo.Nimemchukua mtoto akiwa tayali kaolewa. Hiki ndicho kinaniumiza kila siku sijui hata chuki chanzo ni nini
  14. GLOOMY

    Mrejesho: Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Nashukuru Sana kwa ujumbe mzuri na ushauri pia, bahati nzuri tumetengana mikoa tofauti na mbali sana kiasi kwamba hata kuja kumwona mtoto hawezi. Kwa Sasa anataka Mtoto arudishe aishi naye na mahitaji yote nitume, ndipo ugomvi ulipo kwa sasa.
Back
Top Bottom