Ukimskiliza chande midaa kwenye space inaonekana gesi nayo ni miyeyusho kwenye mambo ya impact ya hali ya hewa so maji ndo kila kitu kwa nchi zetu hizi labda tuhamie kwenye nyukilia
Dah hii ugonjwa inanitesa for years now especialy nikitoka kuoga, siwez oga bafu chafu au kujifutia taulo bichi au chafu au kurudia nguo manake au kukaa kwenye vumbi inatrigger immidietly. Niliwah zunguka mahospitalini nikakosa sltn ila nikaja kutana na daktari akanipa huu muongozo, kwakifupi...
Napata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwezi wa sita na pesa ipo.
Waziri huyuhuyu mwezi uliopita alituambia hayati Magufuli yuko kazini anachapa kazi ilhali alikua hospitali mahututi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.