Recent content by Gkpm

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nampenda kimapenzi mama mmoja naibu waziri jamani nifanyeje

    Nitajie jina nikusaidie kijana
  2. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Ianzishe mabadiliko ya Ndani, Vinginevyo kuiondoa CCM 2015 ni ndoto - Sehemu ya 1

    Nafikir jinsi mlivyo na tamaa ya madaraka ndomana mnaona hata nchi mnaweza kupewa, hilo hilitawezekana kwa gharama yoyote inchi otabaki mikononi mwa CCM daima
  3. G

    JamiiForums Tanzania PICHA: M4C- Operesheni Pamoja Daima ilivyotikisa leo - Afande Sele ang'arisha Morogoro!

    Hakuna mpiga kura hapo wengi wanafwata helkopta msitegemee miujiza hapo!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli akagua daraja la Kigamboni

    Ingekuwa mm ninamaamuzi hawa mawazir na manaibu woye wangekiwa wanajiendesha wenyewe hakuna sababu ya kuendeshwa kwakwel hii nimeipenda sana
  5. G

    JamiiForums Tanzania Zitto kutua Tabora Jumamosi: Mapokezi Makubwa yamsubiri

    Jamaa Zotto yuko vizuri sana ktk siasa anaongea kitu unamuelewa sio kama huyo slaa yy nikelele tu na hana hoja yakuanzisha mwenyewe mpaka aanzishiwe
  6. G

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Naamini kabisa CHADEMA mnavikao vya chama sasa ukisema humu badala yakwenye vikao vyenu wewe ndo unaoneka mnafiki Labda nikuulize mh lema toka mh Zito akatae posho tayar CHADEMA mmeshakaa vikao vingapi ambavyo ulimweleza Zito akakaidi mpaka ww uje useme kwenye mitandao? Kuwa mstarabu kaka.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Neno la leo sikukuu njema jamani

    Uzee haukwepeki labda ufe kabla hujafika hapo
Back
Top Bottom