Bro ila usjal utafanikiwa sana Cha msingi ni Dua tu, wengine bado tunasoma lkn hatujuw mbeleni tutavuna nn,...
Kuna wadau waliachaga shule kitambo lkn Wana maisha mazuri na wanaidhihaki elimu mno kama ivyo,,.nishawahi kusikia mtu anamwambia mwenzake "natafuta anayeweza kuchimba choo ila awe na...