Recent content by Given Nathan

  1. Given Nathan

    Ridhiwani arudi UDSM

    Wabongo bhana wana matatizo sana angeenda Oxford mngesema 'oooh! Wanasomeshwa ulaya wakikwepa elimu ya bongo magumashi!!!! kaenda Mliman bado mnapepesa ndimi zenu ndomana hatuendelei kwa fitina zenu!!
  2. Given Nathan

    Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    Msaada jaman aliyekuwa na information zozote kuhusu LOLEZA girls ya mbeya ata Join instra
  3. Given Nathan

    CBG au EGM

    Samahani wakuu nahitaji mnisaidie juu ya futre ya HGE combination,
  4. Given Nathan

    Kwa waliokosa nafasi za kujiunga na kidato cha tano 2014 ,serikali inawaita huku.

    Baraza nao wanajua kwamba kuna watu mtahitaji kuchepuka mkimalza six haitakuwa simple hivyo i thnk urahis wa hapo ni kwamba utamalza na ualimu then huko mbeleni unaweza badili fani since unavyeti vyenye ufaulu
  5. Given Nathan

    Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    Asant, Ni lufilyo locatn ipo mbeya araf sijajua ni mixture au single sex mana matokeo yanaonesha single sex ila nmeona na girls wamechaguliwa hapo
  6. Given Nathan

    Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    Wadau naomba kujuzwa kuhusu lufilya high school najua ipo mbeya lakn sijajua kama ni ya bweni au hostel na utaratibu wake kadharika.
  7. Given Nathan

    Msaada kuhusu form five post

    Asante mkuu kwahiyo ukifwatilia wizarani utafanikiwa moja kwa moja tofauti na ukisubr resultslp ifke shule uliyo chagulia?
  8. Given Nathan

    Msaada kuhusu form five post

    Mchakato wake upoje mkubwa?
  9. Given Nathan

    Selection Kidato cha Tano 2014/2015: Majina yote haya hapa

    Nmechaguliwa hapo mkuu na natokea Dar ningependa kujua shule ipo wapi araf mazingira na matokeo yake kwa ujumla pamoja na michepuo iliyopo
  10. Given Nathan

    Selection kidato cha tano 2014-2015

    Humu ndani kunawatu wanajifanya kujua mambo kama wapo kwenye kichwa cha kawambwa!
  11. Given Nathan

    Je mfumo wa zamani ungetumika matokeo form yangekuwaje?

    ushamjengea mamaako kibanda cha kulala ww mtumzma mwenye nidhamu bila shaka hujafanya hvyo bas rudi kajpange
  12. Given Nathan

    Je mfumo wa zamani ungetumika matokeo form yangekuwaje?

    Then punguza ushamba na kukariri ujinga alie kwambia kuwa PRIVATE school zote wanapewa spoon feedn nani???? Utapotea ww oooh hee mi shule nliosoma NI SWILLA ipo mbeya kaulize uambiwe kama kunaspoon feedn pale. Zaid ukienda mrembo kama ww utaomba kuhama ndan ya frst term watu wanalala masaa 3...
  13. Given Nathan

    Je mfumo wa zamani ungetumika matokeo form yangekuwaje?

    Wewe embu kuwa na staha kidogo kuhusu swala la uandishi wang iyo ni short writtn form or unahc kwenye paper ntaandak X badala ya S nikulembee ww nani NECTA au uliza uambiwe kukwambia NASUBIR post haina maana cna uwezo wa Private MBWINDE ww sasa nasubr post zitoke ili nijue xcl lin ------- ww...
Back
Top Bottom