Recent content by GIUSEPE

  1. GIUSEPE

    Natamani kujua muda sahihi wa Wakristo kufuturu

    Mathayo 6:16-17 Mnapofunga, msionyeshe huzuni kama wafanyavyo wanafiki. Maana wao hukunja nyuso zao ili kujionyesha. Nawaambieni kweli kwamba wao wamekwisha kupata tuzo yao. 17 Lakini mnapofunga, jipakeni mafuta kichwani na kuosha nyuso zenu 18 ili kufunga kwenu kusijulikane kwa mtu ila Baba...
  2. GIUSEPE

    PENALTY!

    Wapinzani wamepewa penati isiyo shaka,nani aiipige na kwa vigezo vipi mpigaji apewe? This might be their Only chance,..NB: wengi wakitaka wanapata
  3. GIUSEPE

    External hard disk inauzwa

    Inauzwa external hard disk GB 500. Ina series za kizungu na movie za kizungu kiasi( ambazo hazijatafsiriwa) ipo Mbeya mjini. Bei sh.35,000.
  4. GIUSEPE

    Wazo: Katiba ya CCM ibadilishwe muundo wa Mwenyekiti wa Chama, bali Mwenyekiti atokane na Marais Wastaafu au Mawaziri Wakuu Wastaafu

    Ungeshauri katiba ya chama chako ibadilishwe kwanza,kuwe na demokrasia inayohubiriwa na chama chako,kama jina la chana lilivyo
  5. GIUSEPE

    Nina miaka 40 nataka nirudie kusoma tena kuanzia Form One

    Namjibia,ndiyo maana kila baada ya miaka minne,mwaka unakuwa siku 366(mwaka mrefu) kama hajaelewa,akamuulize mwalimu wake!
  6. GIUSEPE

    Le mbebeziiiii

    Wote mnao comment kuhusu miguu miembamba macho yenu mabovu,angalieni vizuri ni nini kinafanya miguu ionekane miembamba.( hint:mwanga )
  7. GIUSEPE

    Hp elitebook 8460p inauzwa

    Nimeshusha bei wakuu,you're free to bargain (if possible)
  8. GIUSEPE

    Hp elitebook 8460p inauzwa

    Tunaweza kuelewana bei
  9. GIUSEPE

    Hp elitebook 8460p inauzwa

    Nipo Mbeya
  10. GIUSEPE

    Hp elitebook 8460p inauzwa

    Bado ipo sokoni wakuu
  11. GIUSEPE

    Hp elitebook 8460p inauzwa

    Pungufu kidogo ya hapo tuongee pm
  12. GIUSEPE

    Hp elitebook 8460p inauzwa

    more pics
  13. GIUSEPE

    Hp elitebook 8460p inauzwa

    Inakaa na chaji tatkriban masaa nane,ina chaji yake mkuu
Back
Top Bottom