Jamani umeme umekatika kila mahali ama ni huku madongo kuinama tu?
Nauliza maana it's been a while tokea umeme ukatike usiku alafu usirudi ndani ya muda mfupi 😵
DTB Iko poa sana. Nna account 3 tofauti na hamna hata moja inayokatwa makato yoyote (mwezi/mwaka) zaidi ya pale nnapofanya transactions.
Na ukilipia kwa kadi ndo kabisa 🙌🏾
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.