Recent content by GiraffeTz

  1. GiraffeTz

    JamiiForums Tanzania Kutongoza....😕

    una unaweza ukaunguza....
  2. GiraffeTz

    JamiiForums Tanzania Kutongoza....😕

    ni mawazo 2 wala cy vita hiyoooo
  3. GiraffeTz

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanawake wa Dar es salaam

    cipati picha mkakutana na mke wako huku nae anakutafuta kwa feck email....mara ya kwanza baada ya chart anakudanganya jina na wewe unamdangny mwishow ndani ya Gest chumba anafungua akiwa amepiga zinga la mini ....huku wewe ulimwaga unakwenda job na utachelew na yeye akatumia hiyo...
  4. GiraffeTz

    JamiiForums Tanzania Kutongoza....😕

    Nimekaa hapa nawaza ...eti wana jukwaa kipi kina kazi kutongoza Binti mpya ambae hujawahi mtongoza au Kutaka kurudiana na EX wako wa zamani......
  5. GiraffeTz

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kwanini Serikali inaogopa Wachunguzi wa Kimataifa? Ushauri wa Lema swadakta

    najiuliza tu kama jeshi la police liko vizuri mbona wakina azuri gwanda hawajapatikana .....wakati mwingine uhai wa Mtu ni muhimu kuliko umaaruf au madaraka tunayo kuwa nayo sisi wanadamu ......sisi kaeni na siasa zenu fanyeni mwezavyo Mo na wengne warudi salama.
  6. GiraffeTz

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA yawakuta na hatia Kubenea na Komu. Wavuliwa nyadhifa zote chamani na kupewa onyo

    Uongozi wenye Busala ndo unaohitajika Hususa kweny vyama vyetu vya siasa .....na pia Tukumbuke teknologia ni kubwa kuliko tunavyo fikilia inaweza kukutia hatiani wakati wowote Tujiadhali kwa kauli zetu na mahara tuwapo....
  7. GiraffeTz

    JamiiForums Tanzania Picha ya Dkt. Mauki na binti yake imekuwa na mjadala mkubwa FB

    kwan hapa kua shida gan twambizane tu..... au ndo yale mwafrika akimfuta jasho mtoto mnasema mpumbavu mwenye ngozi nyeupe mnasema maisha bora na mapenzi kwa mtoto.
  8. GiraffeTz

    JamiiForums Tanzania Hongera Naibu Waziri wa Elimu kwa tamko la kudhibiti viboko mashuleni

    sawa ila huu ndo uhalisia viboko 4 kwa kosa lolote ....nadhani jamii zetu za kiafrica bado sana kinacho paswa ni kumwazibu mtoto huku akiwa amekwisha tambua kosa lake hata ukimchapa viboko vinne bila kujua na kukili kosa bado unamwonea.
  9. GiraffeTz

    JamiiForums Tanzania Usiombe yakukute jamani, daah!!!

    yaan kama mtu anaamua kujiua basi hata kukuua siwezi kuwaza ni mara moja tu anakumaliza.. wako ni wa singida huyo mwingine fanya ni kama ni njia uliyopita tu kw bahati mbaya
  10. GiraffeTz

    JamiiForums Tanzania Rafiki yake ameniambia atanipa baada ya yeye kunizungusha

    pale unapo fungua mlango wa Gest ukiwa umeongozn na huyo rafiki unakuta mnyarwanda ndo anatandika humo ...akisubiri fumaniz
  11. GiraffeTz

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tanzania tunadaiwa jumla ya shilingi trilioni 8.4 kutokana na kesi kubwa nne za kimataifa

    nadhani kuna uhalisia wa hili jambo maan ingekuwa uongo mtu angekwisha zungukwa na zile kaki
  12. GiraffeTz

    JamiiForums Tanzania BOKO, DAR: Mama amchoma moto bintiye kwa upotevu wa elfu 2

    amekamatwa ila tukumbuke hata kama akikamatwa na kupigwa miaka kama yote jera haijalishi alisha mwalibia huyo mtoto mwonekana na hata huenda ndo kikawa chanzo cha maisha yake kuwa mabaya ....nadhan wakinana mama vile vijiwe vyenu vya umbea mvitumie kuelimishana tu si umbea
  13. GiraffeTz

    JamiiForums Tanzania BOKO, DAR: Mama amchoma moto bintiye kwa upotevu wa elfu 2

    yaan watoto wanapata chamgamoto sana na hawana pa kukimbilia kijitetea kabisa
  14. GiraffeTz

    JamiiForums Tanzania BOKO, DAR: Mama amchoma moto bintiye kwa upotevu wa elfu 2

    Some time unaweza usinielew kwa nn nimesema wanawake ndo viumbe katili ....najua cyo wote ila wengi ni makatili sana... kwel ukaenda leba.....ukawapigia kelele wale madockt wakaacha kazi zao wakakusaidia tena kwa shida ukafanikiwa kuzaa ... ukalea kwa miaka 12 mwaka wa kumi na tatu kwa kikisia...
Back
Top Bottom