Recent content by Giovanni

  1. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli chukua tahadhari hii haraka!

    Pole sana hivi unafikiri Rais anafanya maamuzi kwa kutegemea majungu, ana namna yake ya kupata taarifa kabla hata hajapewa taarifa na hao wahusika kama wakuu wa mikoa
  2. G

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu aanza kata kwa kata Arusha, 310 CHADEMA warudi CCM

    Ujinga hauna kwao hivi kweli mtu anaweza akakupa bangi na viroba na wewe ukakubali, lazima uwe mjinga tu ndio unaweza kukubali
  3. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alijua mabaya ya Dr. Dau mpaka kutompangia nchi?

    Wengi huwa wanaficha maovu yao kwa mgongo wa dini hata wauza unga wengi hujidai wako karibi sana na dini wanaswali sana na kuvaa kanzu nyeupe lakini ndio waovu wa kupindukia. Dau nae ni mmoja wao
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania imenyimwa msaada wa fedha za MCC?

    Kusaidiwa saidiwa ndio kulikoturidisha nyuma mpaka kukatupeleka kwenye mikataba mibivu saabu ya kogopa kunyimwa misaada bora tu tunyimwe ili ipatikane njia m badala, tatizo kubwa asilimia 90 ya vijana wa Tanzania na watu wazima wengi hawajitambui hiyo ndio sababu unaona mtu mzima ana comment...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kama unafikiri Tanzania itawekewa vikwazo na nchi wahisani, basi unajidanganya

    Jamaa yangu kama umesoma elimu haijakukomboa, wachina kwa taarifa yako huwa hawashirikiani na nchi yoyote kwa hasara angalia kampuni nyingi za kichina mfano za ujenzi wa barabara zinaleta wafanyakazi wao ambao huwa wanawatoa katika magereza zao kwa kifupi waharifu ndio huwa wanaletwa kufanya...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Operesheni Kamata Makahaba na wateja wao

    Naungana na wewe, biashara imeboreshwa kwa kiwango cha juu sana kuna sehemu siku hizi eti utaskia wanafanya massage sijui SPA kumbe ukienda huko unafanyiwa massage na mzigo unakula kama kawaida.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Kwa kuhutubia Kwa kiswahili

    Una hasara sana jamaa yangu, kama ulienda ahule basi ulikariri. Kujua kiingereza sio kipimo cha uongozi kiongozi anaweza ongea lugha yake sio lazima aongee kiingereza ndio anaonekana kiongozi
  8. G

    JamiiForums Tanzania Joshua Nasari ni Jipu, alikuwepo wakati Rose Odinga anadanganya

    Hata ningekua mimi ningekaa kimya, ni ujinga wenu watanzania mnaodhani sifa kuwa na vivutio ambavyo hamvitangazi na wala haviwapi faida. Hata ukiwa na mke mzuri hafa unamuangalia tu humpi haki yake kisawasawa jirani yako atakusaidia tu.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli awaaibisha wale waliokuwa wanasema hajui kiingereza

    Kwakweli watu wa Tanzania tunatakiwa kujitambua, sioni sababu ya kum beza mtu kwa sababu haongei kingereza tena kwenye mkutano kama huo wa afrika mashariki ilitakiwa hasa wazungumze kiswahili kazi bado tunayo nawahurumia tu kizazi kijacho
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli akifungua rasmi bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Novemba 20, 2015

    Siku zote huwa nasema watu wenye mawazo madogo hawafai kuwa viongozi, Wewe unawaza kucheza cheza tu ndio maana hata mafuriko yakitokea unabakia kuleta porojo tu unawaza kucheza.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ujio wa TB. Joshua kwa mualiko wa CCM una maana gani?

    Toa ujinga wako huna kazi za kufanya eeeehhhh!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Operesheni Zinduka 5 - Kwani Watanzania ni wao peke yao? Sote ni sote

    Unapoteza muda wako tu na kujivunjia heshima kama unavyojiita mzee, wananchi wamekichoka chama na wengi hawalitambui hilo, mimi ni mwanachama wa ccm lakini kura yangu ni kwa Lowassa we kaa na operation zako hizo huko huko marekani, maisha halisi wanayoishi watanzania hauyajui ndio maana hauna...
  13. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Mmetunyonya sana nadhani inatosha sasa mpumzike.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Wa kulaumiwa CCM ni hawa

    Mi mwenyewe na mwenyekiti wangu J tumebaki kimkakati ili tukiuwe chama vizuri,mnaofikiri kitashinda mnapoteza muda wenu bure.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Wa kulaumiwa CCM ni hawa

    We bwana ni zero kabisa hakuna kitu subiri tu tarehe 25 oct
Back
Top Bottom