Recent content by Ginolaaa

  1. G

    JamiiForums Tanzania 6 Months experience na TTCL Fiber

    h hapana
  2. G

    JamiiForums Tanzania 6 Months experience na TTCL Fiber

    Vodacom
  3. G

    JamiiForums Tanzania 6 Months experience na TTCL Fiber

    -nord na Express ni gharama,,Exitlag ni best alternative na ni cheaper per month na ina route nzuri kwa gaming. - shida ya Fiber ni kwa maeneo machache.
  4. G

    JamiiForums Tanzania 6 Months experience na TTCL Fiber

    kila Game lina njia yake kwa FC 24 kuna Ping counter ukiwa unaplay online
  5. G

    JamiiForums Tanzania 6 Months experience na TTCL Fiber

    kwa VPN za gaming try exitlag. ni superb sana...ishu kubwa kwa isp wengi wa bongo ni routing.. hususani baada ya tatizo la kukatika kwa nyaya... -Exitlag wanasolve tatizo kwa kuconnect na server yenye latency ndogo kwenda kwa selected server. Kwa mfano ukiconnect na Dubai server, Exitlag...
  6. G

    JamiiForums Tanzania 6 Months experience na TTCL Fiber

    Sorry for late reply,,my advice kwanza inatakiwa ujue fortnite au game lolote lina server wapi jirani na Tanzania...server nyingi za jirani za games zipo south africa especially Johannesburg.. -TTCL FIBER ROUTING YAO KWENDA SOUTH SIO NZURI SANA... labda ukitumia vpn services zenye server za...
  7. G

    JamiiForums Tanzania 6 Months experience na TTCL Fiber

    Unaweza ona kwenye izo screenshot.. Picha namba 1 ping ni 5 ukiconnect na server ya Dar es salaam. Picha namba 2 ping ni 224 ukiconnect na server ya Johannesburg. Picha namba 3 ping ni 219 ukiconnect na server ya Nairobi. Picha namba 4 ping ni 180 ukiconnect na server ya Paris. Picha namba 5...
  8. G

    JamiiForums Tanzania 6 Months experience na TTCL Fiber

    12ms itakua kwenye server za bongo..Ingia kwenye speedtest then change server to any Johannesburg server kama liquid au vodacom..check ping yake....kwangu ttcl to any dsm server ping inakuaga adi 4ms
  9. G

    JamiiForums Tanzania 6 Months experience na TTCL Fiber

    Unalipia package ipi na ping ni ngapi
  10. G

    JamiiForums Tanzania 6 Months experience na TTCL Fiber

    Niliunga vpn kwa sababu EA SERVERS zipo Johannesburg..bila vpn ping ilikua 120ms, nilivyotumia vpn ping ikawa 55ms..vpn inapungiza speed lakini speed inatosha kwenye gaming,,,in gaming latency ni muhimu kuliko speed. Pia vpn haikuaffect speed ya internet inayofaa kw gaming....
  11. G

    JamiiForums Tanzania 6 Months experience na TTCL Fiber

    Ni unlimited ila speed ni 20mbps ambayo 2.5mb per second download speed
  12. G

    JamiiForums Tanzania 6 Months experience na TTCL Fiber

    hamna ni lazima waya uje mpaka ulipo
  13. G

    JamiiForums Tanzania 6 Months experience na TTCL Fiber

    Kama Kuna mtu atahitaji details zaidi kuhusu ufanisi kuwa huru kuuliza
  14. G

    JamiiForums Tanzania 6 Months experience na TTCL Fiber

    Kwa eneo nililipo hapana ila kulikua na maombi mengi sana ya watu kuunganishwa ..at the end watu wengi waliungwa
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kupigiwa simu kila mara kukumbushwa kulipia TTCL Fiber hata baada ya kuwaambia huhitaji kwa sasa ni kero

    Habari mdau,,kupitia maelezo toka Kwa staff wa TTCL walisema kuwa serikali kupitia TTCL wamewekeza Hela nyingi kwenye hii fiber project ndo maana hakuna installation fee unatakiwa kulipia tu monthly fee, tofauti na isp wengine.. na wanatazamia huu uwekezaji utalipa in long term Kwa kutegemea...
Back
Top Bottom