Recent content by gimonge

  1. gimonge

    Lowassa, Membe kutupwa nje, Makongoro kumrithi Kikwete

    Don oba Huezi kumkuhumu mtu eti mvuta bange Makongoro ni miongoni mwa viongozi ambao taifa linawaona na kuwategemea.na katika watia nia na kama yy atatia nia hakika ccm itakua inepata mtu sahih wa kupepwrusha bendera yake Ni mchapa kazi na mwenye kufuata misingi ya haki na utawala wa shwria...
  2. gimonge

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Hapo wamemwelewa saana mbunge wao na wametambua umhimu wa kuwatumikia ndo maana wamempa zawadi.ngeleja habari ya mujini
  3. gimonge

    Mkakati wa Team Lowassa huu hapa

    Yaani lowasa akiwa rais wa tz naenda tarime nkalime viazi,mnacheza na taifa letu nyie
  4. gimonge

    Fahamu namna ya kuperuzi JamiiForums BURE

    Unatuma na kupokea threads au miyeyusho tuu
  5. gimonge

    Ngeleja azima hoja ya Escrow

    Kioju hujui lolote kuhusu sengerema na ukweli upo wazi,usikurupuke tuu ndg Ngeleja ni habari ya mjini na anajua anachokifanya. Kaza buti ngeleja watanzania wanakuelewa saana waache wasage lami ww mbele kwa mbele
  6. gimonge

    Ngeleja azima hoja ya Escrow

    Huyu jamaa yupo vizuri na anafaa coz yupo karibu saana na wananchi wake.anafaa kuwa kiongozi wa ngazi ya juu tz
Back
Top Bottom