Recent content by Giltami

  1. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitendo cha Mama Fatma karume kustaajabu Makonda kuacha URC je ni anguko lingine kwa Makonda kuukosa ubunge Arusha Mjini?

    Kazi yake ishaisha anapewa majukumu mengine ukuu wa mkoa utamzuia kufanya majukumu maalumu wakati wa uchaguzi
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mtume Boniphace Mwamposa, Uvivu utawaangamiza Watanzania

    Nasubili akujibu nijue kwa nini?
  3. G

    JamiiForums Tanzania NASA imesema imechelewa sana kuzuia Mawe makubwa yatakayotua Duniani

    Wanataka pesa hao, matapeli kila kona
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Ningependa kujua ulimkosea nini hadi aseme amekusamehe? Baba alikuwa wapi kipindi hicho? Kwa nini unadhani uliwaona hao wachawi? Nguvu ya kukimbia na akakubeba unadhani aliitoa wapi? Kuna kitu ningependa kujua ambacho hujakisema na kukiweka wazi.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

    Hakuna cha dini inalipa ni kwamba utakatishaji peaa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Sera ya Elimu ni janga kwa vyuo vya ualimu nchini. Ni janga kwa wasomi wa shahada za ualimu nchini!

    Anajifanya anajua sana ubora wa elimu ila hajali maumivu wanayopitia watoto wetu afu hajali kabisa upungufu wa walimu vijijini hali ni mbaya sana hadi wanafunzi wameanza kurudia kama zamani.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Battle la Compact SUV: Mazda CX-3 vs Honda Vezel. CIF karibia zipo sawa, ila Ushuru wa TRA mmoja amedabo!

    Hii calculator tushazungumza lakini watu hawajali kwa kuwa wao wanatembelea LC300 yaani hawajali kabisa hii nchi ni tatizo sana
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnaojenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua huwa mnamaanisha nini?

    Kweli hauna jinsia ila nimekutana na kesi nyingi sana kila mtu anadai hii ni mali yangu haimuhusu mwenza wangu kuna tatizo kubwa sana africa ndoa ni taasisi unakuta mtu anathubutu kusema nyumba ni mali yangu haiwahusu watoto wangu au mke wangu unajiuliza huyu mtu ni kichaa, Tujalibu...
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnaojenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua huwa mnamaanisha nini?

    Were ni Me au Ke tabia ya ubinafsi
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnaojenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua huwa mnamaanisha nini?

    Inauma ila wanaume wengi wanapokonywa miji na wanawake kisa huruma ya familia, Kumbuka nyumba ya familia sio Asset kabisa.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mwaka 2010 kwenye vikao vyetu mimi, Kaka yangu Mbowe na Dkt. Slaa hatukumshirikisha Lissu kwasababu hanaga siri!

    Kuna ukweli dogo anatumika na watu waliostaafu kwa manufaa ya kulinda heshimq yao tu kiufupi dogo sio mtu mwema kwa maendeleo ya nchi yeye kajitolea muhanga kutumika ndani ya CCM na nje hivi jiulize anawezaje huyu kuwa mwenezi wa CCM ukweli system ilishakufa ila wanawatumia watu kama hawa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Vodacom wamenifanyia unyama, kesho naenda makao makuu na mwanasheria wangu.

    Kwa hiyo voda wameshindikana eti
  13. G

    JamiiForums Tanzania Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

    Tunaomba vyombo vipambane maana kwa mikono raia hawawezi kabisa.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Bwawa la umeme effect, Baada ya Symbion power sasa ni zamu ya SONGAS kufungashwa virago, Nimeelewa kwanini walikuwa hawalitaki bwawa lijengwe

    Mkuu unajua hata lile daraja la kigamboni linatakiwa kila baada ya siku au week tufanye ukaguzi wa zile cable lakini huwa sioni hivyo najua nachomaanisha hilo bwawa litakuja kuwalaza watu giza kwa mwezi mzima sisi akili zetu ni za kivyetu hazifanani na ngozi nyeupe naposema umeme wa gas ni...
Back
Top Bottom