Angalau Seran umekuwa mwamanifu.Nashukuru pia nimepokea uzoefu na ushauri kutoka kwa watu mbalimbali naamini utanisaidia pia.
Binafsi nia yangu pia ni kuishi katika usafi bila kuzini🙏.
Nimejaribu kufatilia njia gani nitumie niweze kuwa mshindi katika hili… vita dhidi ya uzinzi na uasherati ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.