Recent content by Gilbertlit

  1. Gilbertlit

    Nina sababu milioni 1 za kumsapoti Rais Samia Suluhu

    Wewe Getrude naona una washwa
  2. Gilbertlit

    English lugha ya kufundishia

    Habari ya muda huu wana jamvi. Leo naomba kuuliza swali hivi ni kwanini serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania [emoji1241] haina mpango wa kufikiria kuanza kutumia lugha ya Kiingereza kama lugha ya kufundishia na Kiswahili kikabaki kutumika kama lugha ya mawasiliano. Ona jinsi vijana...
  3. Gilbertlit

    Kikwete hakuwa mwizi, Ila mfumo uliachwa na Mkapa ulimzidi nguvu

    Mbagala kazi yao ni kupigana miti usiku [emoji561] kucha ?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Gilbertlit

    SoC01 Kunyonyesha watoto wanne miezi 6 mfululizo (EBF) huku nikisoma Chuo, nikiwa mwajiriwa, mama na mke

    So far biashara ya forex bado una endelea nayo, umefikia wapi mpaka sasa ?! Natamani niongee na wewe kwa nia ya kubadilishana mawazo na uzoefu kwenye suala la forex trading. Hongera sana kwa ku share story yako imenifunza kupambana bila kukata tamaa.
  5. Gilbertlit

    Ongezeko la watu hifadhi ya Ngorongoro kuleta madhara makubwa kwa wakazi asilia na uhifadhi

    KILA KITU NI SIASA. KARIBU KILA KITU NI SIASA KWENYE HII INCHI. INAUMA SANA
  6. Gilbertlit

    Hospitali ya Aga khan ipo wapi?

    Asante sana mkuu kwa msaada.
  7. Gilbertlit

    Hospitali ya Aga khan ipo wapi?

    Asante sana mkuu... shukrani kwa msaada
  8. Gilbertlit

    Hospitali ya Aga khan ipo wapi?

    Asante sana mkuu... ume nisaidia sana
  9. Gilbertlit

    Hospitali ya Aga khan ipo wapi?

    Agakhan ya dar es salaam ndugu
  10. Gilbertlit

    Hospitali ya Aga khan ipo wapi?

    Nipo Dodoma mimi kwa sasa
  11. Gilbertlit

    Hospitali ya Aga khan ipo wapi?

    Wakuu Habarini za muda huu, naomba kuuuliza eti Hospitali ya Aga khan ipo Wilaya gani ? Tarafa gani ? Kata gani ? Mtaa gani ? Nina jaza form ya interview hapa sasa nimekutana na ilo swali, maana nimezaliwa hapo ila sijui sasa hizo taarifa. Naombeni MSAADA wenu ndugu.
  12. Gilbertlit

    Gharama za bus lori, scania au fuso

    Anataka tani 7 so ni gunia 70 za kilo 100. Ila anaweza ongeza mpaka tani 8 yaani gunia 80.
  13. Gilbertlit

    Gharama za bus lori, scania au fuso

    Ndiyo kuna mtu tuko kule anataka vitunguu toka Tanzania, anataka ni mtafutie mzigo.
  14. Gilbertlit

    Video ya Mahubiri ya Askofu Mwingira yaondolewa mitandaoni

    Mwanangu hapa kwa mawazo yako wewe hutakiwi hata kupewa cheo cha ujumbe wa nyumba 10.
  15. Gilbertlit

    Gharama za bus lori, scania au fuso

    Hello habari wana jamvi, kwa mtu yoyote mwenye kampuni ya kusafirisha mizigo kutoka Tanzania kwenda nje ya Tanzania, ninataka kupeleka vitunguu Gaborone, Botswana vitunguu gunia 80, sasa hapo nafikiri nitahitaji gari aina gani kati ya fuso au scania ? Alafu nahitaji kujua gharama zake mpaka...
Back
Top Bottom