Recent content by Gigymomo

  1. G

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI acheni kiburi

    Endelea kuwasikiliza tu 😂😂😂
  2. G

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI acheni kiburi

    😂😂😂😂 Msonde au mkenda?
  3. G

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI acheni kiburi

    Njoo inbox tafadhali
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tueleweshane kuhusu uhamisho ESS

    Njoo inbox kwa uaminifu kabisa utahama
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kwenye hii mitandao mnakopa wapi

    Unapatikana wapi?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

    Shida kubwa ya huo mji ni ujuaji uchwara, yani much know nyingi sana huo mji unapitwa hata na dodoma aise,
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Yeah ni tangazo halali kabisa we jiandae uombe kama una sifa
  8. G

    JamiiForums Tanzania Dodoma ni kutamu jamani

    Nipe connection ndugu
  9. G

    JamiiForums Tanzania Dodoma ni kutamu jamani

    Dodoma kwa sasa ni kuzuri mimi nimehamia nina kama mwezi nimehamia kikazi, fursa zipo nyingi tu ukituliza kichwa na ukiacha pupa, watu ni wakarimu sana, changamoto ya dodoma ni maji na kodi za nyumba, mfano maeneo yaliyochangamka sana kama makulu, chidachi, ilazo, na mengine mengi nyumba hugusi...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kuishi Dodoma

    Asante sana man
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kuishi Dodoma

    Nifanyie namna ndugu kma unaweza Natanguliza shukran Yeah sio mbaya itanisaidia pia
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kuishi Dodoma

    Nifanyie namna ndugu kma unaweza Natanguliza shukran
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kuishi Dodoma

    Habari ndugu wana jukwaa, naomba kwa wazoefu wa Dodoma hasa maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze na Kikuyu, mnisaidie natafuta nyumba ya kuishi, walau iwe na vyumba viwili na sebule, choo, jiko, maji, umeme. Bajeti yangu haizidi 200k
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Tatizo liko serious na ni worldwide
Back
Top Bottom