Leo nampongeza aliyewahi kuwa waziri wa nishat na madin ndg prof Muongo. Nampongeza kwa jambo moja tu, kipindi cha uongoz wake amefaulu kusimamia suala la umeme kufika kwetu Matombo Morogoro. Tangu nchi ipate uhuru miaka 50+ iliyopita, Matombo umeme tumeanza kuonja ladha yake 2014 kweli...
Cock n bull story. Nawe mtazamo wako umekuwa hauna tofaut na huyu mzee Kingunge. Ccm itaendelea kuwepo coz Magufuli nae ana rasilimali watu tena wale wapigaji kura ambao wanaiangalia siasa katika mtazamo wenye mashiko. Tuna imani na Magufuli, hopin atasimama kama inavyotakiwa.
Walimu wana mazingira magumu sana. Sijafanya tafiti ya kutosha lakin kwa upande wa Morogoro hususani Morogoro vijijini walimu wananyanyasika sana katika suala zima la ufuatiliaj wa mishahara yao. Unakuta wanavunja shughuli zao na kufuatilia mishahara tena umbali mrefu ambao unawagharimu wapande...
Yupo sawa isipokuwa hofu yangu ni kwamba hivi huyu mzee hayaoni yanayotendeka bungeni mbona huwa hapazi sauti yake au ndo anataka atufanye tuamin kuwa amepewa pesa na Lowassa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.