wewe acha uwongo
LOWASA means LOW HASA or lower hasa_______maana yake HAFAI CHOCHOTE, HANA UWEZO WOWOTE yaaaan ni mdhaifu kupindukia.
We Mpumbavu Nini?Kulijua Jina La Mtu Lazima Uwe Una Mkubali?Ina Maana Wewe Adui Zako Huwajui Kwa Majina?
safi sana mkuu. ngoja timu lumumba nao waje watuambie jina la Magufuli lina maana gani.
L=ridership??
Halafu Ni Lowassa Na Sio Lowasa!!
wewe acha uwongo
LOWASA means LOW HASA or lower hasa_______maana yake HAFAI CHOCHOTE, HANA UWEZO WOWOTE yaaaan ni mdhaifu kupindukia.
Wakuu Salaam, hebu shuka nami hapa kupata maana halisi ya jina Lowasa
L=Leadership
O=organization
W=with
A=ability and
S=Strong
A=Ambition.
Watu wanatembea na Nyota za Majina yao. Hivi nini Maana ya Magufuli?
BACK TANGANYIKA

wewe ndio uliemzaa?mzee Ngoyai kumbe hiyo ndio maana ya jina la mwanao?mimi nilidhani kuwa hilo jina ni lakiingereza.Hongera mzee Ngoyai kutufafanulia jina la ukoo wako.Sasa tufafanunulia maana ya jina la mwanao ambalo ni Edward linakuwaje.Karibu jamvini utupe mavitu baba Lowasa.Hahahahaaa!!!Hii hapa ndo nzuri zaid..
L=Leader
O=organized
W=with
A=abilities and
S=Strong
A=Ambition.
wewe ndio uliemzaa?mzee Ngoyai kumbe hiyo ndio maana ya jina la mwanao?mimi nilidhani kuwa hilo jina ni lakiingereza.Hongera mzee Ngoyai kutufafanulia jina la ukoo wako.Sasa tufafanunulia maana ya jina la mwanao ambalo ni Edward linakuwaje.Karibu jamvini utupe mavitu baba Lowasa.Hahahahaaa!!!