Mwanasiasa mmoja aliwahi sema 'Watanzania wana akili kama za kuku'
kuku huwa anatabia ya kusahau haraka sana. anaposogelea ama kula nafaka ya bosi wake, huwa anafukuzwa kwa kutumia ka sauti fulani hivi ambako huwa hakana madhara kwake. Haitachukua muda atarudi tena palepale alipofukuzwa. this...
Sasa naanza kuelewa kwa nn wale jamaa walitaka kupora urais wa mama. Ni kweli kwamba mwanamke hawezi kuwa rais bora hapa Tanzania? Bado naamini imawezekana. Mama, Mh. Suluhu Rais wangu, mwenye jinsia ya kike. Fanya jambo juu ya waziri huyu mzembe ili wasioamini utendaji wa mwanamke wakuelewe vizuri.
Kwa spika serikali kutoajiri walimu wa kike sio ubaguzi, ila covid19 kufukuzwa na chama chao kwa kuwa ni wanawake ndo ubaguzi.
Nimemuelewa spika wangu. Haya buana, kazi iendelee
Tanzania hii, kumbe bado sana.
Wakati tunafikiri tukimbie kwa speed kubwa kuelekea mafanikio kwa kuwa na viongozi wenye weledi, uelewa na uthubutu, wengine wanatamani "kila mtu apate" kwa kuwa tu eti in mtanzania. Basi itoshe kusema safari yetu bado sana.
Je unafikiri ni CHADEMA tu ndiyo yenye jukumu la kudai katiba mpya na Time guru ya uchaguzi? Mbona kuna na vyama vingine kaka, au vyenyewe jukumu lao ni lipi?
"Hata kesi za kinidhamu hawawashirikishi watumishi kwenye ofisi zao"
Makatibu wasaidizi wa TSC Wilaya, wamewafanya watuhumiwa wa kinidham kuwa saccos. Tena wanakutana na watuhumiwa majumbani, sehemu zenye starehe n.k.
Lkn pia, taarifa za kimanunuzi so za kweli hata kidogo. Wananunua risit za...
"Namwachia Rais afanye kazi yake"
kauli hii inaonyesha wazi kulikuwa na kikwazo some where kilichozuia hata Mkuu wa Mkoa (Anna Mgwira) kumdhibiti Sabaya kuachana na matendo yake maovu kwa wananchi.
Yale machozi msibani yalibeba ujumbe mpana sana.
Alikuwa anazuia au yeye ndo aliongoza genge lake kufanya magendo na kupora na kudhulumu Mali halali za raia wa Tanzania ndani na nje ya mipaka ya eneo lake la uongozi?
Mama hakukosea. Atoke tu wa Tanzania hatuhitaji viongozi wa aina hizo kabisa.
Ni sawa tu, mbona tuliokopa bodi ya mikopo ya Elimu ya juu tumepandishiwa asilimia za malipo kwa mwezi na kama ulikopa 50% unalipa 100%? Tunashangaa nini wakati serikali yetu inatukopesha na kutulipisha kwa mtindo zaidi ya huo? Mi naona ndo maliba ya Siku hizi hayo.
Kweli JF sasa, hata kichaa anapata nafasi ya kutoa ya moyoni.
Msomi gani unashindwa kutofautisha katiba ya chama cha siasa na matakwa ya kisheria nje ya katiba ya chama cha siasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wote waliotajwa watakuwa chadema. CCM hawapendagi rushwa kabisa. CCM safiiiiiiiii! Sadifa na Shaka hoyeeeee!
Hao ndo viongozi wa baadae wa serikali. Watavunja mikataba, watadharau amri za mahakama, watakula rushwa zaidi. Wathungu wanasema"like son like father"
Sent using Jamii Forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.