Lobapula
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 2,388
- 1,582
March 2015 Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na sasa Rais wa chama cha mawakili Tanganyika {TLS} alijitokeza katika vyombo vya habari na kusema kwa kitendo cha aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA Zitto Kabwe kwenda kupinga maamuzi ya vikao vya CHADEMA mahakamani ni kosa la kufukuzwa chama yani Rais wa TLS anaamini kwenda kudai haki mahakamani ni kosa kubwa na unapaswa kufukuzwa uanachama.
Sehemu ya kwanza ya kanuni za kusimamia shughul,mwenendo wa maadili ya wabunge wa CHADEMA kipengere cha 8 {A} {X} kinasema ''CHADEMA KITASHUGHULIKIA MATATIZO YA VIONGOZI NA WANACHAMA KWA KUFUATA TARATIBU ZILIZOWEKWA KWA MUJIBU WA CHAMA,NA WALA HATA SIKU MOJA HAITASHUGHULIKA NA MAMBO HAYO MAHAKAMANI. MWANACHAMA ATAKAYESHINDWA KUFUATA TARATIBU ZA CHAMA NA KWENDA MAHAKAMANI ATAVULIWA NA KUFUKUZWA UANACHAMA''
Mwanasheria mkuu wa CHADEMA na sasa Rais wa TLS aliita vyombo vya habari na kusema Zitto amekiuka kifungu hicho kwa kwenda kudai haki mahakamani so akabariki kufukuzwa uanachama.
Hiki ndio chama cha kidemokrasia na rais wa TLS asiyeamini katika kudai haki mahakamani
Zitto Kabwe njiapanda, Chadema wamfukuza
Chadema wamtimua rasmi Zitto