Recent content by Gibrielly

  1. G

    JamiiForums Tanzania PGM hii comb imekaaje wakuu!

    Wakuu napiga comb hii ila na wasiwasi nayo ! Je nini nifanye kuikabili?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Mi na Bios na geography credits. Wakuu naweza kurisit huku napiga form five.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Boy!! Usijali uongo ni silaha tosha ya kumpata.

    Mhhhhhhh
  4. G

    JamiiForums Tanzania vyuo vya Udaktari'' Arusha

    Kam college kipo dar, st luke kipo moshi.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kuelekea matokeo ya form six, siri nzito yafichuka

    hili lis..enge limetoka wapi hii siyo jamvi ya kupigia KAMPENI.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha nne 2012 kutangazwa tena wiki hii

    daah still mpaka alhamisi hii bado tu. sidhani wiki hii watamaliza
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mlango mmoja unapofunga, mingine hufunguka

    mkuu tunakushukuru
  8. G

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu website za vyuo vya afya vya serikali!

    Pouwa kaka
  9. G

    JamiiForums Tanzania Sababu Ingine ya Kufeli Form 4 hii hapa.

    Kiduku tu! Napita
  10. G

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu website za vyuo vya afya vya serikali!

    Mshua nashkuru kwa ubinadamu wako ila hizi web unahakika nazo au zimefungiwa kwa kuwa azifunguki bro!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu website za vyuo vya afya vya serikali!

    Thanks mkubwa
  12. G

    JamiiForums Tanzania Vodacom wamezidisha wizi

    Mimi nikuhusu hii huduma ya my no1.utakuta nimetupia vocha ya 1000 kwenye simu den wananionganisha automatiki kwa kunikata 152 hivi . Cha ajabu naongea na selekted namba mpaka 747 inaisha kwa muda huo huo. Je hii haki kwely bora waitoe tu!
  13. G

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu website za vyuo vya afya vya serikali!

    Pharmacy mweshimiwa@moes
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenzenu naonewa.bofya ufaidi

    Utaimba tu mbona bro wangu yuko jela na anaimba.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Why! Result sleep za form four 2012 kucheleweshwa?

    Habari zenu wakubwa i think mko good at al kinacho nishangaza mpaka mwezi march unaisha kila siku nikienda skull headmaster anaxema bado tatizo nini wana jf na mimi nataka nitume maombi chuoni?
Back
Top Bottom