Recent content by Gibbs

  1. G

    Kikao cha CHADEMA na wafadhili wake wa nje kupanga mikakati ya uchaguzi

    Sio kumjibia lakini kama ameshaonyesha kuwa iliyo mbele sio ya ukweli("upotoshaji" kama Dr alivyosema) , basi sidhani kama kuna umuhimu wa kujibu upande mwengine wa swali. maana akifanya hivyo atakuwa anakubaliana na mtoa uzi (atakuwa ameji-contradict mwenyewe). Sijui kama Zitto ni mkristo...
  2. G

    On Mtwara: Kikwete, Muhongo na Bunge - Mnayakumbuka haya?

    I beg to differ you build economic zones sio kila siku kutumia existing zone. CHINA ndicho walichofanya, let mtwara be energy zone, and put other industries in there kwa maana hata sasa dar haina specialization.
  3. G

    Taarifa kwa Watanzania: Namna Mtwara na Lindi inavyonufaika na gesi

    I propose wanamtwara wawepo katika vikao vya bodi kuundwe namna ya uwakilishi sawasa na kamati za maji za vijijini na iwe ni sehemu ya makubaliano ya mkataba ambao serikali inaingia na wawekezaji Kuwe na free and fair means ya wanamtwara kuingia katika uwakilishi na kuwe na means ambapo...
  4. G

    Gesi:Barua toka Umakondeni Mtwara - Passive resistance inaendelea, je nan muhamasishaji?

    Swali langu moja Je tunaweza kufananisha harakati hizi na zile za MAJIMAJI, maana huko Kusini Mashariki ndio Massive & Passive resistance kwa wakoloni ilipoanzia. Je kuna similarities hapa? By the way no one knew the results of MAJIMAJI when started. Wakristo wengi huwa tunaamini kuhusu...
  5. G

    CCM wanajadili uhuru na Mipaka ya uhuru, Uhuru hauna mipaka!

    Well said; Sisi wananchi tuna kiu ya kujua mambo na kiu ya kusema mabo , tunatamani ukweli ujulikane DOLA kazi yake ni KUFICHA habari na ukweli. Uhuru una gharama na gharama yake ni maendeleo, na hii ni ukweli, empower people kwa kuwapa kweli na kuwa mkweli ili maamuzi yaliyo sahihi yafanyike...
  6. G

    Pres. Obama to Visit South Africa, Tanzania, Rwanda, Considers Stopover in Nigeria

    hawezi kwenda kwa kuwa ataonekana kuwa anamkubali Kenyatta Mtuhumiwa wa the Hegue, lakini naamini kabla ya kumaliza 2016 atarudi tena Africa especially Kenya
  7. G

    Mama yake Zitto avamiwa

    Just think about it isn't it obvious? There is no way Slaa na mbowe wakamtuma huyo "kada wa chadema" wakati hiki ni kipindi kigumu kutokana na kesi ya Lwakatare. Hili kwa mtu aliye na akili yake hawezi kuamini lakini kwa wengine wasiofikiri au wanaotaka negative kwa upande mwengine watataka...
  8. G

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    one thing in common kati ya listed company na NHC, they are both Public companies whether by issue of shares or by virtual of taxpayer money na wanatakiwa kukidhi mahitaji ya wateja au shareholders (quality is one of them)..... Kaka standard lazima zifuatwe policies lazima ziwepo. kama ni kosa...
  9. G

    Kutoa taarifa za siri katika Mawasiliano ya Elektroniki ni kosa la jinai

    Nadhani pasipo kujua MAELEZO wanaweka Legitimacy ya claims za CHADEMA pasipo kujua. baada ya hii taarifa watu ambao walikuwa wanadoubt Claim za Marando wataona kuna ukweli na serikali inaanza kujitetea. usipokuwa na Strategies ya kudeal na hivi vitu lazima utapoteza Muelekeo. Serikali ya...
  10. G

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Kaka unajua maana ya Total Quality Control. NHC inawajibika katika hili. Kama wangekuwa wana issue shares ktk masoko makubwa ungeona uhusika wao maana share price zingetetereka My point, NHC via Joint Venture bado wanatakiwa wahakikishe kuwa Policies zao hazivunjwi. Wamezoea b'ness as usual...
  11. G

    Mnyika atangaza maandamano tarehe 16 Machi

    Mi ni mkazi Ubungo, siamini kama uliwahi kuhudhuria mkutano wake hata angalau mmoja. Ktk kila ahadi aliyosema aliwaweka wananchi mbele kama sababisho juu ya kuweza kupata hizo haki zao. Mnyika ni mtu ambaye amekuwa akiassist panapokuwa na tatizo lolote juu ya haki za wana Ubungo, Naamini pia...
  12. G

    Rais Kikwete ahutubia Taifa - Mwisho wa Mwezi Februari

    Kikwete is PATHETIC LEADER, I have never used this word for Mr. President. I agree the guy is more suit and no substance. Ni bora angekaa kimya hajasema lolote... Na ukweli unazidi thibitika Udini ni mtoto aliyemzaa yeye na kumlea Ktk Elimu kwa miaka 3 mfululizo kufeli ni 50% au zaidi...
  13. G

    Kupewa adhabu kwa vyombo vya habari Je huu si ukandamizaji wa Demokrasia na Uhuru wa Mawazo

    Mara nyingi watu wa Serikali wamekuwa wagumu kuwasiliana na wananchi wao, hawakubali kwenda kwenye midahalo kuweka wazi misimamo yao na kwa nini. kwa kuwa wanaogopa na watendaji wakishiriki katika mambo haya huwa wanaweza kuonywa au la ... na hawana uwezo wa kuonyesha wayforward. (Kumbuka hii...
  14. G

    Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    Siamini kuwa ni sahihi kwa chombo chochote cha habari kufungiwa kwa kueleza msimamo wa mawazo ya kikundi fulani. They are setting a precedent for future actions... Tumekuwa tukilalamika kuhusu kufungiwa Mwanahalisi na kwa hili Serikali itarudi na kusema vimefungiwa vyombo vingi kwa kukiuka...
  15. G

    Salma Kikwete: 'I am very dissappointed by you'

    Nilicho kipenda kwa 1st Lady ni jinsi ilivyokuwa CONFIDENT na FORCEFUL alikuwa anaonekana anaamini kile anachoongea (which is good thing) na hii inaonyesha kuna transformation ya kuelekea uanasiasa kamili, sasa sijui ni kutokana na mazingira aliyokuwepo (uwanja wa nyumbani) au ni Kwamba...
Back
Top Bottom