hv kwa akili yako unadhan kushinda au kushindwa kwa CHADEMA Kalenga kutakua na uhusiano na zitto? kweli nmeamin tanzania hatuendelei kwa sababu kuna watu wanaofkir km ww!! huna hoja kaz kuropoka. una uwezo wa mdogo hapa sio sehem yako labda facebook
vtazaliwa ving sn, ila vtakufa vkiwa vchanga, km CHADEMA haitoitoa ccm madarakan bas ccm itatawala zaid ya miaka 50, hao wanaoanzsha chama leo wafocus kushka dola miaka 20 ijayo.
ole sendeka amemuomba rais kikwete ampe uwaziri wa katiba na sheria, hii inaonesha ni jinc gan amemkubal jamaa. japo anaamin kbs rais hampendi lissu na kikatiba haiwezekan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.