Recent content by GhostCoder

  1. G

    JamiiForums Tanzania Pale Rais anapodanganywa hadharani na Maofisa wa Bandari mamlaka zimekaa kimya...

    usipanic bro nilikuwa namwelewesha dafu na ndimu amesema kwann umeonyesha za tarehe 25 na si za tarehe 22 nikamwelekeza aingie kwenye link uliyotuma akitaka kuona za tarehe 22 kulikuwa na meli ngapi ataona ila sijasema zilikuwa 30.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kwa hili yuko sawa, ITV jirekebisheni

    Tazama unachoandika ukaskazini umetoka wapi na maswala ya wakulima na wafugaji acha ukanda ww tukianza kusema wasukuma wanapeana vyeo unaonajeee wakati inaonekana wazi. tudumishe umoja uliokuwepo mambo ya ukanda na ukabila hayana tija kwenye nchii hii.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Pale Rais anapodanganywa hadharani na Maofisa wa Bandari mamlaka zimekaa kimya...

    kweli itakuwa na mitumbwi ya kuvulia samaki aisee
  4. G

    JamiiForums Tanzania Pale Rais anapodanganywa hadharani na Maofisa wa Bandari mamlaka zimekaa kimya...

    jedwari litakuonyesha alafu hii ni system inayotrack meli zote duniani so usiwembishi ingia kwenye hiyo link aliyoweka unapata kila kituu
  5. G

    JamiiForums Tanzania Pale Rais anapodanganywa hadharani na Maofisa wa Bandari mamlaka zimekaa kimya...

    Ingia kwenye hiyo site pia unaweza ona meli zilizokuwepo bandarini siku rais ameenda kutembelea hapo zinaonyesha hadi tarehee
  6. G

    JamiiForums Tanzania Bunduki zimekosa kazi Tanzania

    Askari anaambiwa atoe kitambulisho anatoa bastola na alikuwa amevaa kiraia tunahakika gani ni askari au laah......
  7. G

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Hivi kwa hili linaloendelea sasa nchini kama waziri anaunda tume ya uchunguzi kupata ukweli kesho yake amesimamwishwa kazi. swali la kujiuliza je mawaziri waliobaki tutegemee kweli watafanya kazi kwa ufanisi na kusimamia ukweli na haki pale wananchi watakapo zulumiwa haki zao za msingi?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    hafai kwako kwetu anatufaa sana
Back
Top Bottom