Recent content by gheto child

  1. G

    Jeshi la Polisi lamtendea unyama askari wake

    ki ukweli haki imeenda rikizo ktk jeshi la polic kitendo hicho cha kinyama kinafanywa na kiongozi huyo ni dhambi,ndugu jaribu kupita kushoto tafuta ushaidi wowote nitakusaidia broo
  2. G

    Hatimaye yule polisi aliyemuua mwalimu kwa risasi amefukuzwa kazi

    usitumie cheo chako kama dhamana big up kiongozi kwa utekelezaji
  3. G

    Tigo, Airtel na Voda maumivu, TCRA mpo wapi?

    mkuu mie mwenyewe nashangaa thana,nilikuwa nafanya mawacliano kati ya tanzania na sudani kiukweli nilipoteza mawasiliano na wa2 wengi thana ndani ya miezi 8 niliyokuwa hko labda wale ambao 2nakutana fb,gmail,yahoo n whatsapp aibu kweli
  4. G

    Askari polisi kutoboa sikio hii imekaaje??

    kaka huyo pimbi yupo ki2o fulani mkoa wa temeke na anakaa kotazi za kilwa road dogo anajivunia baba yake ni kiongozi wa juu wa jeshi hilo
  5. G

    Msaada na ushauri wenu

    ndugu usikate tamaa ipo cku milango itafunguka,jaribu kubadili maamuzi kama vp jiunge Jeshi la kujenga taifa
  6. G

    Inawezekana kweli Kikwete ni chaguo la Mungu

    JK ni chaguo la wanacmm we pimbi usimpe mungu kasha bhana,kama vp si engekuwa papa amalize mkataba asepe hana jipya aje kukuongoza ww mwenye imani juu yake
  7. G

    TAHADHARI: Kwa watumiaji wa juice za AZAM

    mkuu huyu jamaa anajitahidi kupeleka huduma zake tanzania nzima na kweli ktk maisha ya wik nzima lazima umchangie chochote kumuepuka ha2wezi basi ajaribu kuzijari afya ze2
  8. G

    Matapeli sugu wa mtoni Mtongani akina ntunyungu

    kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake,sasa hawa wamekata kamba ngoja wapate haki yao cku wakifikia mikononi mwe2 magaidi
Back
Top Bottom