na mali zipo hata TZ ila ziko aridhini huo ndio ukweli vitu vya mkononi vipo navyo ila wenye navyo ni wagumu sana kuvitoa au kumtoa kwakwe coz hizo pesa ni viumbe hai na hizi habari zinazo ingia mijini kunarupia au mercury ni uongo njia za mataperi kwanza pure red mercury from ground ni chakula...
ujui unachokisema jeruman rupiee na mali zao zingine huwez pata inayotafutwa kwenye HII historia ya wajerumani(German Oster Africa(DOA) ) iliopo hapa TZ mpka kwao
masharti ni yakawaida sana ila watu wameisha kuwa waongo kupita hata ukweli na wanatafuta vijisenti tu vya mifukoni mwa mwatu na ramani ya ficho ni nayo ambayo inaonesha jengo zima la mali za kijeru ila ni siri ziwezi kuposti hata siku moja
na mali zao pia ni sili ulisha wai ona fufumark kwenye...
tumia hii hapa 176.31.222.34 port 80 alaf nenda kwa m.twitter.com fresh namimi nataka za tigo na airtel hiyo ni voda niliyo kugei so ntumie kama you have ok.
ukitaka software za AUTODESK inc unaweza download trial version kwenye mtandao wao kisha utafute product keys na activation keys kwenye mtandao wa www.keygens.nl
KAMA MNAHITAJI KUUNLOCK MODEM AMBAZO ZIKO CUSTOMIZED FIRMWARE INAWEZEKANA LAKINI KUZIUNLOCK INAHITAJI UNUNUE Mkey Dongle DEVICE NDOGO KAMA USB FLASH AMBAYO KAZI YAKE NI KUFUNGU HIZI MODEM HADI AMBAZO ZIMESHINDIKANA
kuna software moja tu jamaa zangu ambayo mm huwa nina tunia siku zote kutengenezea HARD DISK nayo ni HDD REGENERATOR
kazi yake ni kufix cruster size ambazo ziko demage kama vile mtu akiangusha HDD yake chini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.