Ni kampuni inayotoa huduma ya ulinzi na usafi maofisini, majumbani, kwenye kumbi za starehe,bank, mashuleni, hospitalini, makanisani n.k kwa mkataba wa masaa, siku, wiki, mwezi, mwaka na kuendelea. huduma zetu ni safi, salama na nafuu ofisi zetu zinapatikana TEGETA KIBAONI DAR ES SALAAM, KIGOMA...