Nahitaji kiwanja madale

Nahitaji kiwanja madale

AziGogolato

Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Habari jf.

Nahitaji kiwanja maeneo ya madale D'salaam. Bajeti yangu ni milioni 4.5. Mwenye kuwa nacho aseme kina ukubwa gani pia aweke mawasiliano yake. Sihitaji maeneo ya mabondeni na sihitaji kiwanja chenye mgogoro wa aina yeyote.

Sehemu zingine pia naweza kununua kama si mbali sana na mji na kuna huduma zote karibu.

Nawasilisha.
 
kiwanja kipo hapa madale kina ukubwa wa 25kwa 25, umeme, barabara vipo. bei 4.5m mradi wa maji umezinduliwa mwezi huu waweza nipigia ukitaka kupaangalia 0714419920
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom