Recent content by Gg111

  1. Gg111

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu zaidi kuhusu jeshi la zimamoto kwa ambaye ana fahamu

    Habari mkuu, hivi ulipataga hizo post #Uhamiaji / #Fire maana nahitaji kujua kwa mtu wa Diploma analipwaje #Fire ?
  2. Gg111

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa clouds fm

    Hello dear, hivi hii Jingle ya clouds ulifanikiwa kuipata? Kama unayo naihitaji tafadhali. 🙏
  3. Gg111

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa Chuo kinachotoa kozi ya Labour Relations & Public Management

    Habarini za muda wakuu! Tafadhali aliyesoma kozi ya Labour Relations & Public Relations kuanzia ngazi ya cheti. Naomba anijulishe alisomea chuo gani, ukiachilia mbali ISW {Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama}
Back
Top Bottom