Recent content by gfnampellah

  1. G

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mh![emoji15] Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
  2. G

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Naomba msaada: mwenye kitabu cha kitabu cha currency trading for dummies kile kikubwa akitume hapa. Tx in advance Post sent using JamiiForums mobile app
  3. G

    Mwanamke kakimbia na akili yangu

    OK nimekuelewa aiseee. Post sent using JamiiForums mobile app
  4. G

    Mwanamke kakimbia na akili yangu

    Mkuki kwa nguruwe, uloyafanya ni mabaya zaidi, wala mama Yasi hana kosa kubwa, Wewe ndiyo chanzo cha yote.Fanya yako tu ukiona huwezi hama Wewe kagie mbali kama ulivyosema. Yaani ulitaka abaki mnyonge mpaka lini! Khaa! Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
  5. G

    Niko Dilemma

    dear sio rahic kuishi na mtu unayempenda. Nilipita katika wakati kama wako, lkn ckufanya kosa nilimchagua anayenipenda sasa ni mwaka wa 9 ndoa yangu inaamani na furaha, nimejifunza kumpenda mume wangu na sasa nampenda sana. life is not a rehearsal.
Back
Top Bottom