Naona una hoja nzuri lakini hujui ni kwanini waalimu wa vyuo vikuu hawafanyi publications za kutosha.
Kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa piblications ni matunda ya research. Na huwezi kufanya research bila kuwa na pesa. Sasa naomba tujuilize wote kuwa ni nani anapaswa kutoa pesa hizo? Je katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.