ishu ni kwamba mi ni mwalimu wa sekondari nafanya kazi serikalini kwa muda wa miaka 5,niliamua kijiendeleza kwa sasa ninashahada ya maendeleo ya jamii na uchumi, nimetafuta kazi muda mrefu kwa ngazi ya shahada sijabahatika, kuna siku niliona tangazo la kuvolunteer kwenye NGO inayoitwa africa...