Tatizo la zito ni kujionesha kwamba yeye ni maarufu kuliko chama. Mjue ikitokea siku zito akawa mwenyekiti wa chama na mgombea 'urahisi' basi chadema ni kwisney kuanzia udiwani, ubunge hadi huo urahisi.
Acha ukabila brother! Nyie ndio mnaoharibu mshkamano ndani ya jamii yetu. Urombo na umachame umetoka wapi hapo? Usifikiri na kutenda kwa akili za kuazima utaumbuka.
Zito pole sana kaka yangu kwa yote yaliyokukuta. Hii ndiyo dunia na huo ndo ujana ambao wahenga walisema ni maji ya moto. Niseme ukweli kuwa wewe ulikuwa role model wangu na ulinifanya nipende siasa na haswa zile za upinzani. Mimi nimekatishwa tamaa kabisa na tabia yako yakujitanguza wewe mbele...
Hapo umesema vizuri kuhusu zitto kwa kuwa hadi sasa ni mamluki wa ccm na jeykey wake. Kutokana na matendo yake zitto lisingemtoka kwa kuwa yeye kimatendo yupo ccm ila kwa kadi yupo chadema. Dr slaa ''kwa kadi yupo ccm'' (if could be possible) lakini matendo na itikadi yupo chadema. Kati ya hao...
Hivi kwanini CCM wanatumia nguvu nyingi kutuaminisha kuwa dr anamiliki kadi yao na ipo hai? Hivi ni jukumu la CCM kuwaambia CHADEMA kuwa huyu ni mamluki wao au wao wenyewe chadema watambaini kwa matendo na mienendo yake? Kama CCM wanajua kuwa dr slaa ni kada wao na anawafanyia kazi iliyotukuka...
Jk bado mdogo kivipi ndugu ilhali alikua na miaka 43 by then na katiba inahitaji 40yrs pekee? Nyerere alimaanisha ana mawazo ya kitoto bado hivyo hafai kwa urais na for bad luck hadi leo bado hajakua..
EL at work! Anyway unadhani kwanini tunamwita J.k. Nyerere baba wa taifa? Unadhani kwanini nyerere aliwakataa Samwel, Edward na Jakaya 1995 na kumpitisha benjamini na cc pamoja na nec zote zikaafiki bila kupinga.
Unadhani kwanini baada ya jkn kumkataa Edward ilifikia edward akatuma ujumbe kwa...
Mimi siamini kwamba EL hajui anachofanya ndani ya ccm kwa sasa! Anajua fika kuna vikao vya cc, nec na mkutano mkuu. Anajua kuwa ili apitishwe na chama lazima apite kote huko. Siamini kama anao uwezo wa kupanga safu katika nec na mkutano mkuu ambako kote kuna wajumbe wengi zaidi ashindwe kupanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.