Recent content by Getruda

  1. G

    JamiiForums Tanzania Re: CIGAR imekuwa sumu kwa mahusiano

    sasa hapo nitakuwa namdanganya nani nitakuwa kama niko utumwani nikifanya kificho. akinikamata itakuwa shida
  2. G

    JamiiForums Tanzania Re: CIGAR imekuwa sumu kwa mahusiano

    Smile huna ushauri? basi pumzika dia
  3. G

    JamiiForums Tanzania Re: CIGAR imekuwa sumu kwa mahusiano

    Alinitongoza nikiwa mvutaji kaka. leo ameniona sifai?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Re: CIGAR imekuwa sumu kwa mahusiano

    Dutch master The boss hizi ninatumia niliwa na boss. mie hela zote hizo nitatoa wapi.. ila muhimu utoe ushauri kuliko kuniweka kama niko polisi kwa maswali mengi.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Re: CIGAR imekuwa sumu kwa mahusiano

    Hayani mahubiri ya familia daily. Ila sawa niambie njia za kuiacha?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Re: CIGAR imekuwa sumu kwa mahusiano

    Nikiwa na my boss (mtasha) huwa navuta sana cigar ila kitaa nakuwa na sigareti
  7. G

    JamiiForums Tanzania Re: CIGAR imekuwa sumu kwa mahusiano

    Salamu kwenu MMU, Ni binti mtanzania, ninavuta sigara tangia nilipomaliza tu high school hadi leo nimemaliza chuo nimeajiriwa mahali. Kazi yangu inaniweka busy sana kiasi napatikana mjini kwa nadra. Ni mekuwa na stlye yangu tofauti ya maisha kwamba naishi nitakavyo no matter what my family...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

    mhhh mie bado namsubiri patna hapa getini
  9. G

    JamiiForums Tanzania Muhimu sana ninatafuta

    hujachelewa hata kidogo, natafuta partner wa white party, my number ni 0784888457....au 0713500430. wahi nafasi ni moja tu.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Fainaly ya Miss chitchat November piga kura hapa

    charminglady
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuwa cheater

    Asanteni sana kwa maoni yenu, nimeyapata na nitajaribu kuyafanyia kazi kulingana na kile ninachoamini kwa sasa, kuhusu afya yangu, ninajua ni jukumu langu kujionea huruma kabla ya kuonewa huruma, ila all in all nitaishi kisanii kama ambavyo dunia iko kisanii
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuwa cheater

    Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution ninayoiona ni kutokuwa serious kwenye mahusiano na kudanganya kama ambavyo wengi wamekuwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Getruda ndani ya MMU

    Nimejitambulisha kwa wana MMU mod wakaifuta thread yangu, nimerudi tena wapendwa wa MMU, nipokeeni tujenge mapendo daima, kupitia mapendo nchi yetu itakuwa na amani teleeeeeeeeeeeeee
  14. G

    JamiiForums Tanzania Whatz Up?

    Kwema humu ndani? mie mgeni, mnipokee na kunitunza, tuko pamoja sana.
Back
Top Bottom