Recent content by Getang'wan

  1. G

    PreGE2025 Mawaziri wa 3 wanatarajiwa kukutana na Umoja wa Walimu Wasio na ajira Tanzania (NETO) Machi 10

    Watatue tu. Wakitupa ajira tunawapa kura maana tutasahau shida zetu 😁😁
  2. G

    Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

    Hii hoja ni ya kipumbavu sana. Wewe ulishawahi fanya kosa kama hilo?
  3. G

    Wanaotaka kuzua taaruki kuhusu Afya ya Makamu wa Rais wapuuzwe sawa na wanaozusha kujiuzulu kwa KM CCM

    Walamba soli tu hawa. Naye anajitengenezea ka nafasi hapo.
  4. G

    Kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup

    Sawa, Gekul umesikika lakini siamini kuwa huna back up. Ulitokatokaje chadema ukaenda huko na kupata vyeo vyote hivyo huna back up? Nadhani kama kweli umefanya hicho kitendo, back up wameona wasijihusishe na hii aibu. Pambana, ukizama, ndio imeenda.
  5. G

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Sidhani kama kuna shwain kukuzidi wewe unayeishi kwa kutegemea damu za watu. Na sasa bwawa linakauka washenzi wakubwa nyie. Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  6. G

    Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?

    Inawezekana pia waliopo hawaoneshi utiifu kwa mama, kwahiyo watafanya kweli na ukweli hautakiwi. Bora awepo zimwi unayemjua kuliko malaika usiyemjua
  7. G

    Mshahara umetoka hakuna incriment hakuna nyongeza!

    Kwahiyo mlikuwa mnakenua meno mtapata ongezeko la mshahara? Ccm imewajulia kweli kweli. Kula chuma hicho......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. G

    Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

    Hii nchi kwa akili kama yako tutasubori sana. Kwani askofu anatoa maoni kama askofu au kama mwananchi? Kwahiyo kama mtu ni askofu anakosa haki ya kuwa mwananchi? Ccm imefanikiwa sana kwenye hili eneo.....
  9. G

    Mamilioni ya Watanzania tunaendelea Kusimama na Rais Samia

    Trioni [emoji123][emoji123]
  10. G

    Mamilioni ya Watanzania tunaendelea Kusimama na Rais Samia

    Pambana, uteuzi wako si mbali
  11. G

    Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

    Ole Mushi huwa unakosea sana unapodhani kuwa siku zote wakati wote mawazo yako huwa ni sahihi. Hapa na wewe umekosea sana kwa hili andiko lako. Kwanini utangulie kuiona dini ya mtu kabla ya utu wake? Kuna taarifa umeletewa kuwa kuna watu wa Islam wamenyimwa nafasi ya kutoka mawazo yao katika...
Back
Top Bottom