Recent content by gestapo de combatimento

  1. gestapo de combatimento

    JamiiForums Tanzania Bodaboda Kigoma na changamoto wanazokutana nazo

    Hapa kigoma vijana wamejiajiri kupitia bodaboda na imesaidia sana kiuchumi lakini kuna changamoto kubwa wanazo kutana nazo, kwanza wanakutana na abiria ambao cio watu wema na uwakodi na kuishia kuuwawa ama kujeruiwa, kiufupi waaarifu wengi uwakodi kwa lengo la kuwapora pikipiki zao, pia...
  2. gestapo de combatimento

    JamiiForums Tanzania Dereva wa ARUSHA EXPRESS ya Arusha - Mbeya Marcopolo nyeupe atakuwa anakula bangi. Polisi njia nzima 'no camera'

    kwanini upande wakati unajua anaendesha ovyo, unafiki huo mkuu
  3. gestapo de combatimento

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba! nyumba! inauzwa bei chee

    unashangaa m.15?? we unatoa ngapi manake inazungumzikan tu bosi wangu
  4. gestapo de combatimento

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mawazo; Nataka kufungua taasisi kusaidia watu wenye mazingira magumu

    ASANTE SANA, BAADA YA APO NAPATAJE WADHAMINI
  5. gestapo de combatimento

    JamiiForums Tanzania CONGO: Askari wa JWTZ Waanza Msako Mkali Katika msitu wa Ben, Askari Wawili wa JWTZ wauawa katika Mapigano Makali

    kuchukia vyombo vya ulinzi kama majeshi ya wananchi,police na magereza ni kukosa akili, ile ni ajira na ina taratibu zake, inamaana watu wakatae kujiunga na majeshi ili wakae vijiweni kunywa kahawa na kubishana juu ya vitu vya kijinga kama NANI TAJIRI KATI YA RONALDO NA MESI
  6. gestapo de combatimento

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mawazo; Nataka kufungua taasisi kusaidia watu wenye mazingira magumu

    thanx!! kwani manji kakosea nini mkuu
  7. gestapo de combatimento

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mawazo; Nataka kufungua taasisi kusaidia watu wenye mazingira magumu

    ata mimi nimemshangaa kiasi fulani anaonekana cio intelijent
  8. gestapo de combatimento

    JamiiForums Tanzania Natafuta dalali mkoa wa Shinyanga

    Habari zenu wakuu, Natafuta namba za dalali ambaye yupo serious mkoa wa Shinyanga ili anisaidie tushirikiane kuuza nyumba. Msaada please njooni PM
  9. gestapo de combatimento

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mawazo; Nataka kufungua taasisi kusaidia watu wenye mazingira magumu

    Habari zenu wakuu mbalimbali, Mimi nina ndoto za kufungua kampuni ya kusaidia watu wenye mazingira magumu pamoja na Marginalized populations wote, nitashughulika na kusaidia malazi, chakula, nguo, afya, na kutoa elimu ya ujasiriamali. Kiukweli inaitaji gharama kubwa sana lakini kama...
  10. gestapo de combatimento

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kutapeliwa mtandaoni

    asingekubali, cha ajabu yule dada alijipoteza af akamwachia uyo wakuitwa prof.raymond eti anitumie iyo mizigo yeye kaenda HAITI kikazi na hatopatikana ewani
  11. gestapo de combatimento

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kutapeliwa mtandaoni

    waligonga mwamba kwangu
  12. gestapo de combatimento

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kutapeliwa mtandaoni

    upo sahihi mkuu, awa itakuwa ni wa afrika magharibi kule, shenz zao!
Back
Top Bottom