Recent content by gerrald

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ni bora kununua gari yenye kilometa 200,000 kutoka Japan kuliko kununua gari yenye kilometa 50,000 Tanzania

    Hua wanarudisha kilometers nyuma,agiza Japan moja kwa moja,au nenda kampuni ya janjapan hawa hawachakachui kilometre
  2. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Kilimanjaro wachangishana kurekebisha barabara mbovu yenye urefu wa kilomita 72

    Wachaga ndio walivo hawaingoji serikali
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nyie wakuitwa manabii na mitume kwa nini wote mnakimbilia Dar? Kwani huku wilayani hakuna asiyehitaji upako wenu?

    waende na Simiyu,Kondoa,katavi,Mbinga sio kulundikana Mjini,Pembezoni mwa nchi Watu ni wengi wanahitaji Huduma za kiroho
  4. G

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wazazi wa Dar es Salaam acheni mzaha, mnaharibu watoto

    Yupo sahihi
  5. G

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    😄😄😄😄Namuona kenyonyo kapanda juu ya meza 😄😄😄
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini kamati za harusi zinaingia gharama kubwa kwa ajili ya MC?

    Ni ulimbukeni tu
  7. G

    JamiiForums Tanzania Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

    Features zake zipoje tukiingia tuwe na mzigo kamili
  8. G

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

    Nuhu alikosea kuwatangazia watu gharika?
  9. G

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

    Mungu huyo huyo alileta gharika Duniani enzi za nuhu,na wakishupaza shingo mapigo bado 😁
  10. G

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

    Na bado wakiendelea kushupaza shingo
  11. G

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

    Miezi michache imepita Tetemeko -uturuki ,likaenda piga Morocco,jana Libya imepigwa na mafuriko watu 2000 wamekufa na zaidi ya 10000 hawajulikani walipo,wengine wamesukumizwa baharini huko Ni Mwendo wa Mapigo tu kwa Waarabu mpk wamrudie Mungu wa Kweli😇 Na Nyie Mnaolia lia humu Gharika wakati...
Back
Top Bottom