This God man alikuja ni Mungu akijua ni Mungu lakini kwa sababu kumuelewa Mungu ni ngumu ikabidi awe sisi ...rejea Zakayo...Malaya Magdalene...nk
Muda wote alisisitiza tusimiss judge
..think out the box...
Nawapenda madada poa wa Buguruni Sinza na wote...nawapenda wote JF hadi washirikina that...
Mapenzi yako kwake yalianzia kwenye daladala baada ya kuvutiwa na urembo wake. Namba ya simu uliyoichukua ndiyo iliyowafanya leo hii mtimize mwaka mmoja ndani ya mahusiano yenye mapenzi motomoto.
Ndugu na rafiki zako wote wamemkubali kwa umbo na tabia! Na sasa umeamua kuoa.
Juzi mkiwa na mkeo...
WAKATI NA MAISHA
Time will tell! Huu ni msemo maarufu wa kizungu wenye dhima ya kutukumbusha umuhimu wa matumizi mazuri ya muda.
Hakuna asiyejua kuwa kwenye maisha kuna kipindi cha neema na kipindi cha dhiki (changamoto). Kama ile simulizi ya miaka saba ya neema na ile miaka saba ya njaa...
BLEEDING LOVE
Isingekuwa rahisi kujizuia. Angewezaje kujizuia ikiwa mashoga zake karibu wote walikuwa na michepuko yao, na bado ndoa zao zikabaki salama vile vile?
Shoga yake aitwaye Amina alikuwa anachepuka na Mwarabu mmoja mfanyabiashara maarufu wa Arusha. Mchepuo wao ulianzia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.