Recent content by Germinus

  1. G

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Standardization ifanyike ili matokeo ya wanafunzi yalingane

    Nimeipenda hiyo kaka
  2. G

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Standardization ifanyike ili matokeo ya wanafunzi yalingane

    Wanafunzi wengi walifeli mitihani ya kidato cha nne kwa kuwa walimu na serikali kwa ujumla walielekeza nguvu nyingi sana kwenye sensa ambako walimu tuliona inalipa kwa kuwa hakuna teaching allowance. Kwa ujumla, mgomo wa walimu na maandalizi ya sensa yalichangia kwa kiasi kikubwa.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Prof. Baregu: Ikipaswa nichague kati ya nchi yangu na Chama Changu...

    Tatizo letu sisi watanzania hasa tulioshika mpini hatuwezi sana kutafsiri sheria zetu kwa wananchi tunaowaongoza. Tukielezwa ukweli na wenzetu ambao pia ni werevu, tuliowasomesha kwa hela zetu wenyewe tunaona kama wana maslahi binafsi. Nini maana ya elimu kama hatutaikomboa nchi yetu kwa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msanii Isabela asasambua nguo zote baada ya kufakamia Pombe za bure

    Ni kweli kwani Watanzania wengi wameshabadilisha mitazamo juu ya mstakabali wa taifa lao, raslimali zao na wao wenyewe pia kwani hali ni tete. Aluta continua.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Isabela ambaye juzi alivua nguo zote hadharani atamba kuwa lulu michael hamuwezi " kimapenzi"

    Nionavyo kuna haja ya kuwa na sera ya mavazi.
Back
Top Bottom