Msanii Isabela asasambua nguo zote baada ya kufakamia Pombe za bure

Msanii anayechipukia katika tasnia ya kuigiza Isabela a.k.a "vai wa ukweli" alijikuta akiuza utu baada ya kufakamia pombe za buree toka kwa maswaiba wake wa karibu jijini Dar,nashuhuda wa tukio hilo wanadai alichanganya vileo.
Tukio hili lilitokea jana usiku ikiwa ndo weekend imeanza ambapo muigiza huyu alijikuta anazidisha kunywa zaidi ya

uwezo wa kichwa ndipo alipojikuta anasaula nguo bila kujua kwani alikuwa chakali full chapombe,baada ya muda kadhaa maswaiba wake walimpeleka kwao angali yuko taabani.
Isabela ameigiza filamu na mastaa kibao ambapo kati ya movie saba alizocheza zinatarajiwa kutoka hivi karibuni kama vile Good fellow,2 eyes,Black Wear,Doa la maishaMen day out na nyingine nyingi very soon.
Vai wa ukweli ndiye mpinzani wa Lulu katika matukio kama haya ikiwa wako tasnia moja na umri wao sawa ama kwqeli Lulu kapata mpinzani Isabela ni zaidi ya Lulu sasa.
DSC07670.JPG
DSC07693.JPG

DSC07687.JPG

Wasi wasi wangu kwa aliyechukua picha,mwisho wake ulikuwaje.?
 
Msanii anayechipukia katika tasnia ya kuigiza Isabela a.k.a "vai wa ukweli" alijikuta akiuza utu baada ya kufakamia pombe za buree toka kwa maswaiba wake wa karibu jijini Dar,nashuhuda wa tukio hilo wanadai alichanganya vileo.
Tukio hili lilitokea jana usiku ikiwa ndo weekend imeanza ambapo muigiza huyu alijikuta anazidisha kunywa zaidi ya uwezo wa kichwa ndipo alipojikuta anasaula nguo bila kujua kwani alikuwa chakali full chapombe,baada ya muda kadhaa maswaiba wake walimpeleka kwao angali yuko taabani.
Isabela ameigiza filamu na mastaa kibao ambapo kati ya movie saba alizocheza zinatarajiwa kutoka hivi karibuni kama vile Good fellow,2 eyes,Black Wear,Doa la maishaMen day out na nyingine nyingi very soon.
Vai wa ukweli ndiye mpinzani wa Lulu katika matukio kama haya ikiwa wako tasnia moja na umri wao sawa ama kwqeli Lulu kapata mpinzani Isabela ni zaidi ya Lulu sasa.
DSC07670.JPG
DSC07693.JPG

DSC07687.JPG

Che machi kwee! shonuu?!
 
hiyo picha anaonekana alijianda kabisa kwa kuja kuvua baadae..naona kama umemkosea kumtoa hapa atakuwa alikuwa katika kazi yake..
 
Ni kweli kwani Watanzania wengi wameshabadilisha mitazamo juu ya mstakabali wa taifa lao, raslimali zao na wao wenyewe pia kwani hali ni tete. Aluta continua.
 
Nadhani mtoa mada ndie mpiga picha,atueleze mwisho wa siku alishia wapi ktk mchakato huo?
Mzee mwenzangu weka wazi bwana
 
Inaonekana hii Tasnia ya Bongo movie sio mchezo maana haiishi vituko??

Lulu, wema, Whopler, Ndikumana, Auntie Ezekiel...

Wote ni full kujiachia.:A S kiss::shock:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom