Recent content by Gerald Kasembe

  1. G

    Wanawake kushindwa kujiexpress vilivyo!!!!!!!!!

    Naunga mkono kwani itaturahisishia kazi!
  2. G

    Kuna future hapa?

    Kaka huyo mwanamke anaonekana hana heshima kabisa yaani bf wake afu anakutukana as if kama mmeokotana bar au disco, my friend think twice about it... over!
  3. G

    Mke wangu ananichanganya

    Kaka usidhani kama uko peke yako uwezi amini yaani karibu wanawake wote ndo wako hivyo ila usihofu ni ulimbukeni tu ndo unawafanya wawe hivyo ila baada ya muda atajiona ni mjinga na ataacha hiyo tabia!
  4. G

    Mke wangu ananichanganya

    Khee!!yaani akamate kimada tena azidi kujiongezea majukumu duh...!
  5. G

    Please,i'm seeking an advice

    Mimi sioni tatizo kaka kinacho-matter ni mapenzi, kwani unajua posh amemzidi beckham kwa miaka mingapi?lakini mbona mapenzi yao mpaka leo yako poa na wana watoto 3....!
  6. G

    Tatizo sijui ni nn??

    Anyway nakushauri kabla ya mechi jitahidi sana kumuandaa mwenzi wako kwa kuzichezea sana sehemu zake zenye hisia and then baada ya hapo utaona mabadiliko ndugu....usihofu ni tatizo dogo 2 hilo!
  7. G

    Nafasi 2 za kazi office ya m-pesa kwa azizi ally-temeke

    thankx for information man....nice tyme!
  8. G

    Online Job opportunity

    mmmmh..........kazi online kwa hapa bongo ni ishu,anyway mimi sifahamu mdau!
Back
Top Bottom