Nafasi 2 za kazi office ya m-pesa kwa azizi ally-temeke

kelvinkipeta

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
109
Points
195

kelvinkipeta

Senior Member
Joined Feb 17, 2012
109 195
KAY DEE INVESTMENT INATANGAZA TENA NAFAS ( 2) MBILI ZA KAZI YA M-PESA

SIFA ZA MUOMBAJI
1. AWE NA UZOEFU WA KUFANYA KAZI USIOPUNGUA MIEZI SITA.
2.AWE MSICHANA KATI YA MIAKA 18-25 TU.
3.AWE ANAISHI MAENEO YA KWA AZIZ ALLY AU TEMEKE AU KARIBU NA KWA AZIZI ALLY.
4.AWE MWAMINIFU KATIKA KAZI KUPIA MAELEZO.
5.AWE NA WADHAMINI JAPO WAWILI.
6.AWE NA ELIMU YA DARASA LA SABA ILA MWENYE MTAZAMO NA MUELEWA.
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TRH 5.12.12.
7.AWE MAKINI NA KAZI.

MAJUKUMU NI;
KUTOA HUDUMA YA M-PESA,TIGO PESA,AIR TEL MONEY,KUSAJILI LINE,KUUZA VOCHA.NK.

TUMA MAOMBI KUPITIA EMAIL ADRESS

KAY DEE INVESTMENT
PO BOX 45097
DAR ES SALAAM.

EMAIL;kelvinvitus@gmail.com

au piga simu namba
0658119099
 
SG8

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Messages
3,750
Points
2,000

SG8

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2009
3,750 2,000
Kama mtaalam wa mambo yanayohusu Utumishi na ajira ngoja nikuchallenge kidogo. Sehemu yoyote mtu anapoajiriwa ni lazima aelekezwe mambo ya msingi kuhusu kazi yake...i.e ni lazima apewe induction course..Huwezi ukafanikiwa kama utamwajiri mtu halafu usimpe A,B,C za ofisi yako, mazingira, matarajio yako, n.k Serikali Mtumishi anapoajiriwa anapelekwa Induction wiki 2 nzima wewe hutaki kutumia hata siku 2 kumpa A,B,C mfanyakazi wako Mpya? Brother...binadamu sio robot, sio mashine, kuna changing environment n.k
 
Makbel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Messages
773
Points
195

Makbel

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2011
773 195
Nice point. Ningekuwa kwenye PC ningegonga like ila Tecno yangu haina hiyo huduma.
Kama mtaalam wa mambo yanayohusu Utumishi na ajira ngoja nikuchallenge kidogo. Sehemu yoyote mtu anapoajiriwa ni lazima aelekezwe mambo ya msingi kuhusu kazi yake...i.e ni lazima apewe induction course..Huwezi ukafanikiwa kama utamwajiri mtu halafu usimpe A,B,C za ofisi yako, mazingira, matarajio yako, n.k Serikali Mtumishi anapoajiriwa anapelekwa Induction wiki 2 nzima wewe hutaki kutumia hata siku 2 kumpa A,B,C mfanyakazi wako Mpya? Brother...binadamu sio robot, sio mashine, kuna changing environment n.k
 
Nindi

New Member
Joined
Dec 2, 2012
Messages
2
Points
0

Nindi

New Member
Joined Dec 2, 2012
2 0
my young sister may qualify..... she used operate wakala services m-pesa, tigopesa and airtel money at kariakoo...... give me a call to redirect....tks
 
Forum statistics

Threads 1,392,961
Members 528,739
Posts 34,123,561
Top