Recent content by gerald daniel

  1. G

    Mbunge wa CCM Viti Maalumu ataka kulia akipinga Bunge kuonyeshwa "Live"

    Hongera sana umeongea ukweli mtupu. ÑIMEANGALIA COMMENT ZA WENGI NAONA BADO WATZ TUNAWEKA SIASA SANA MBELE. UKWELI LAZIMA UONGELEWE NA DAIMA UKWELI UNAJITENGA NA UONGO. WABUNGE WENGI WALISAHAU MAJUKUMU YAO YA NJE YA BUNGE NA HIVYO KUDHOROTESHA MAENDELEO KWA KIASI KIKUBWA. WABUNGE WACHACHE KAMA...
  2. G

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    Kwanza kabisa shukrani za dhati kwa wote ambao wameweza kuwakosoa hawa jamaa wanajifanya wawakilishi wa wanadhuoni Tanzania. Katika Dunia hakuna upambavu mkubwa kama wa kukubali kutumika kwa manufaa ya wachache ni Sawa Na kugeuzwa kuwa chombo cha starehe. Nyinyi mnaojiita wawakilishi ni lini...
  3. G

    Hivi kwanini wahitimu wa Udom wanapata ajira sana

    Ni dhahir kwamba UDOM ya sasa hv imebadilika kwa kiasi kikubwa sana nikiwa kama mwanafunzi wa pale UDOM sasa HV inazalishwa watu wenye uwezo unaohitajika. Hii ni matokeo ya review curriculum ambayo yamekuwa yakiendelea kufanyika ili kuhakikisha kwamba uwezo bora unaohitajika Na waajili...
  4. G

    'First Class' ya UDOM ni sawa na 'Gentleman' ya SUA

    Sio kila mtu aliyefika chuo kikuu ana weledi wa chuo kikuu, ww umedhihilisha hili kwa kupost nonsenses bila kufikiria..chukua elimu ya bure mdogo wngu...before making any decision, you have to employ critical thinking and also to think critically and go beyond from what you think, in order to...
  5. G

    Udom kama Barcelona

    Wewe nani kakwambia UDOM kuna machangu hivi kweli mwanahuo ajiuze kwa sh500 hivi we inakuingia akilini embu acha kusikia maneno alafu na wewe ukakurupuka 2 kudakia bila kuchunguza hivi nauli ya kutoka jamatini 2 paka UDOM sh600 kwahyo huyo mtu atajiuza halafu arudi kwa mguu......umalaya ni tabia...
  6. G

    Matokeo ya sensa

    Matokeo yaliyotangazwa na menyekiti wa sensa taifa yanasomeka hivi jumla tuko 44,929,002. Tanzania bara ni 43,625,434 na Tanzania Zanzibar ni 1,303,568. unaweza ukanifollow on facebook kwa maelezo zaidi......................Asante na maandalizi mema ya mwaka 2013
  7. G

    Wale wa UDOM

    Saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaffffffffffffffffff sana inapndeza wale wa PSPA ndani ya UDOM 2juane jaman
  8. G

    nawaomba mnishauri

    Kaka inabd uuuuuuuuuuujue kwanza historical bakground ya huyo dem pia hospitali muhm
Back
Top Bottom